Manyara: Simanjiro walia kwa uhaba wa mvua, mifugo 62,500 imekufa

Manyara: Simanjiro walia kwa uhaba wa mvua, mifugo 62,500 imekufa

Nimongea na Masai mmoja wakawaida tu anasema
1. Ng'ombe wake 10 na mbuzi 40 wamekufa
2. Wao wenyewe wana uhaba wa chakula
3. Wakipika ugali wanajitahidi kujibana wabakize kidogo ugali kwa ajili ya ng'ombe na mbuzi wao angalao wawape hata matonge mawili
Kwa ujumla hali ya hawa ndugu zetu wa Mkoa wa Manyara ususani Monduli wana wakati mgumu kama wanapitia kwenye vita
 
Back
Top Bottom