Manyerere Jackton: Kila ukikutana na Mwalimu Nyerere unahisi nguvu fulani ya ajabu

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2020
Posts
12,077
Reaction score
12,786
Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu.

Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya kipekee ya Mtanzania huyo.....

Anasema kuwa pamoja na ucheshi na misimamo aliyokuwa nayo bado hakuna mtu atakayesema kuwa ALIMFAHAMU VYEMA labda mama Maria Nyerere😍

HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE🙏

SIEMPRE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TANZANIA KWANZA KABLA YA NAFSI ZETU💪😍👊

#Kazi Iendelee Kwa Kasi &Weledi Zaidi
 
Nyerere alikuwa na mapungufu mengi Sana
Kuendelea kuwaaminisha watu hakuwa na makosa ..alikuwa kama Mungu mtu ni kuendelea kuikosea nchi..

Kwa faida ya Taifa watu waanze kujadili makosa na mapungufu yake

Turekebishe alipokosea..

Leo tunajadili katiba mpya..hakuliona hili?
 
Wademkaji wa kizazi hiki hamuwezi kukaribia hata robo ya personality ya Nyerere, kama viatu vya magu havikutoshi vya Nyerere utafanya nyumba ya kulala kabisa.....
 
Nyerere alikuwa na mapungufu mengi Sana
Kuendelea kuwaaminisha watu hakuwa na makosa ..alikuwa kama Mungu mtu ni kuendelea kuikosea nchi.
Akhi Nyerere ni binadamu....

Nguvu niliyoisemea haina maana hakuwa mwanadamu charisma mbalimbali hupewa waja wa Allah na hata wewe una nguvu nisiyo nayo mimi.

Pamoja na yote ya mwalimu Nyerere ila yeye na wenzake ndio waliotufinyangia taifa letu hivi lilivyo.

Taifa hili Lina mengi mazuri zaidi ya nchi nyinginezo.

Tuendelee kulifanya BORA zaidi..

SIEMPRE JMT
 
Wademkaji wa kizazi hiki hamuwezi kukaribia hata robo ya personality ya Nyerere, kama viatu vya magu havikutoshi vya Nyerere utafanya nyumba ya kulala kabisa.....
Si mwenyekiti wangu Samia ,Si JPM ,Si Mkapa ,Si Kikwete wala Mzee Mwinyi anayeweza kumkaribia mwalimu Nyerere.

Ila haina maana kuwa hao wengine hawakufanya mazuri na hawatoyafanya.

SIEMPRE JMT
 
Hakuna aliyeaaminisha kuwa alikuwa Mungu ,ila kati ya viongozi waliowahi kuongoza Tanzania hadi sasa hakuna wa viwango kama Nyerere
Hasta la Victoria El Comandante JKN🙏
 
Hasta la Victoria El Comandante JK Nyerere🙏
 
Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu.

Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya kipekee ya Mtanzania huyo.....

Anasema kuwa pamoja na ucheshi na misimamo aliyokuwa nayo bado hakuna mtu atakayesema kuwa ALIMFAHAMU VYEMA labda mama Maria Nyerere😍

HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE🙏

SIEMPRE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TANZANIA KWANZA KABLA YA NAFSI ZETU💪😍👊

#Kazi Iendelee Kwa Kasi &Weledi Zaidi
Ukoo wa Nyerere uliishia kula mikate na jibini za ikulu, hakuna hata mmoja aliyejibidiisha kusoma afike mbali au hata kuwekeza kwenye kilimo kikubwa, bila taifa kuwabeba, tungekuwa tunaongea mengine hapa
 
Nyerere alikuwa na mapungufu mengi Sana
Kuendelea kuwaaminisha watu hak...

Mwl Nyerere alituachia katiba mbaya kuliko katiba ya mkoloni 🇬🇧.

Mwl Nyerere aliharibu uchumi wa Tanzania.

Mwl Nyerere alitumia fedha za nchi (taifa) kusaidia nchi za kusini kupambana na ukoloni (Wazungu).Leo mtanzania akienda SA anatimuliwa.Taifa letu hatujalipwa hata ndururu na SA,Angola....... Nchi hizi zina uchumi mkubwa kuliko nchi yetu.

Wakati Mwl anatumia rasilimali za Tanzania vibaya,Nchi ya Kenya zilikuwa zinajenga viwanda na miundombinu Sisi kama nchi tulikuwa tuna matatizo mengi kama Elimu,Afya,Miundombinu.........Kiongozi wa nchi anayependa nchi nyingine kuliko raia wake ni balaaa kubwa.

Mpaka leo sioni faida za huu muungano ambao bado unatumia radilimali nyingi za Tanganyika na kuinufaisha Zanzibar ikiwemo kutuletea viongozi wa kututawala wakati Sisi Watanganyika hatuwezi kutawala hata Wilaya moja huko Zanzibar.

Ngongo kwasasa Ukraine 🇺🇦
 
Acha kujisahaulisha "WATANGANYIKA" waliopata kuitawala Zanzibar na kushika nyadhifa kubwakubwa huko... mkuu hebu nenda mbali zaidi katika mawanda ya kudadisi/kuisoma Zanzibar na kufikiri pia.......

Pole sana kwa kunyeshewa mvua za mabomu huko Mariupol!

#Siempre JMT🙏
 
Ukoo wa Nyerere uliishia kula mikate na jibini za ikulu, hakuna hata mmoja aliyejibidiisha kusoma afike mbali au hata kuwekeza kwenye kilimo kikubwa, bila taifa kuwabeba, tungekuwa tunaongea mengine hapa
Sawa .....

Hayati Nyerere alikuwa ni KIONGOZI BORA KABISA kupata kutokea duniani...hakuna mfano wake hata huko URUSI ,CUBA na CHINA.....

Aliwazuia UKOO wake KUTENGENEZA FURSA za kiuchumi kupitia jina lake....UKWAPUZI kupitia jina lake ...VYEO NA TEUZI kupitia jina lake .....kwani kipi KILIMZUIA ?!!!

Kwani alimuogopa nani ?!!!

TAIFA LINA DHIMA YA KUENDELEA KUUHUDUMIA UKOO WAKE....

NI WAJIBU WETU MKUBWA KWAO ....

#SIEMPRE EL COMANDANTE JK NYERERE🙏
#HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE JK NYERERE🙏
 
Afadhali hata angeiba tungejua moja. Ujamaa wake ulifilisi nchi kabisa.
 
😳😳😳

Nchi zinafilisika kwa sababu ya huko KUIBA unakokupenda.....

Viongozi HAWAWAJIBIKI vyema kwa mataifa yao kwa sababu ya huo WIZI uupendao......

Nchi nyingi duniani zinaingia MIKATABA mibovu(ya kiuwekezaji) "iliyovimbiwa" unyonyaji kwa sababu ya huohuo WIZI UNAOUHUSUDU.. ...

Kweli WIZI unaupenda ila kamwe HAUWEZI kuwa ni AFYA ....

Kwani sera za Ujamaa na Azimio la Arusha hazikufilisi nchi?
 
Nchi ilikuwa na nini haswa kabla ya hizo sera za ujamaa unazozichukia?!!!!

Kumbuka ni hizohizo sera za UJAMAA zilizoleta VIJIJI VYA UJAMAA.....

Ni hizohizo sera za ujamaa ziliondoa UKABILA MKUBWA....UBAGUZI MKUBWA....UCHIFU....na kuleta angalau mwingiliano uliopo.....

Azimio la Arusha lilishaachwa kutekelezwa.....hujalisoma azimio la Zanzibar ?!!!

#Siempre JMT 🙏
 
Back
Top Bottom