Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Akhi Nyerere ni binadamu....Nyerere alikuwa na mapungufu mengi Sana
Kuendelea kuwaaminisha watu hakuwa na makosa ..alikuwa kama Mungu mtu ni kuendelea kuikosea nchi.
Si mwenyekiti wangu Samia ,Si JPM ,Si Mkapa ,Si Kikwete wala Mzee Mwinyi anayeweza kumkaribia mwalimu Nyerere.Wademkaji wa kizazi hiki hamuwezi kukaribia hata robo ya personality ya Nyerere, kama viatu vya magu havikutoshi vya Nyerere utafanya nyumba ya kulala kabisa.....
Chifu Hangaya hoyeeee💪Mtoto wa chief atakosaje mafuta ya simba
Aaamen ameeen aaaamen!RiP JKN apumzike kwa amani
Hakuna aliyeaaminisha kuwa alikuwa Mungu, ila kati ya viongozi waliowahi kuongoza Tanzania hadi sasa hakuna wa viwango kama NyerereNyerere alikuwa na mapungufu mengi Sana
Kuendelea kuwaaminisha watu hakuwa na makosa ...
Hasta la Victoria El Comandante JKN🙏Hakuna aliyeaaminisha kuwa alikuwa Mungu ,ila kati ya viongozi waliowahi kuongoza Tanzania hadi sasa hakuna wa viwango kama Nyerere
Ukoo wa Nyerere uliishia kula mikate na jibini za ikulu, hakuna hata mmoja aliyejibidiisha kusoma afike mbali au hata kuwekeza kwenye kilimo kikubwa, bila taifa kuwabeba, tungekuwa tunaongea mengine hapaMwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu.
Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya kipekee ya Mtanzania huyo.....
Anasema kuwa pamoja na ucheshi na misimamo aliyokuwa nayo bado hakuna mtu atakayesema kuwa ALIMFAHAMU VYEMA labda mama Maria Nyerere😍
HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE🙏
SIEMPRE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TANZANIA KWANZA KABLA YA NAFSI ZETU💪😍👊
#Kazi Iendelee Kwa Kasi &Weledi Zaidi
Nyerere alikuwa na mapungufu mengi Sana
Kuendelea kuwaaminisha watu hak...
Acha kujisahaulisha "WATANGANYIKA" waliopata kuitawala Zanzibar na kushika nyadhifa kubwakubwa huko... mkuu hebu nenda mbali zaidi katika mawanda ya kudadisi/kuisoma Zanzibar na kufikiri pia.......Mwl Nyerere alituachia katiba mbaya kuliko katiba ya mkoloni 🇬🇧.
Mwl Nyerere aliharibu uchumi wa Tanzania.
Mwl Nyerere alitumia fedha za nchi (taifa) kusaidia nchi za kusini kupambana na ukoloni (Wazungu).Leo mtanzania akienda SA anatimuliwa.Taifa letu hatujalipwa hata ndururu na SA,Angola....... Nchi hizi zina uchumi mkubwa kuliko nchi yetu.
Wakati Mwl anatumia rasilimali za Tanzania vibaya,Nchi ya Kenya zilikuwa zinajenga viwanda na miundombinu Sisi kama nchi tulikuwa tuna matatizo mengi kama Elimu,Afya,Miundombinu.........Kiongozi wa nchi anayependa nchi nyingine kuliko raia wake ni balaaa kubwa.
Mpaka leo sioni faida za huu muungano ambao bado unatumia radilimali nyingi za Tanganyika na kuinufaisha Zanzibar ikiwemo kutuletea viongozi wa kututawala wakati Sisi Watanganyika hatuwezi kutawala hata Wilaya moja huko Zanzibar.
Ngongo kwasasa Ukraine 🇺🇦
Sawa .....Ukoo wa Nyerere uliishia kula mikate na jibini za ikulu, hakuna hata mmoja aliyejibidiisha kusoma afike mbali au hata kuwekeza kwenye kilimo kikubwa, bila taifa kuwabeba, tungekuwa tunaongea mengine hapa
Afadhali hata angeiba tungejua moja. Ujamaa wake ulifilisi nchi kabisa.Sawa .....
Hayati Nyerere alikuwa ni KIONGOZI BORA KABISA kupata kutokea duniani...hakuna mfano wake hata huko URUSI ,CUBA na CHINA.....
Aliwazuia UKOO wake KUTENGENEZA FURSA za kiuchumi kupitia jina lake....UKWAPUZI kupitia jina lake ...VYEO NA TEUZI kupitia jina lake .....kwani kipi KILIMZUIA ?!!!
Kwani alimuogopa nani ?!!!
TAIFA LINA DHIMA YA KUENDELEA KUUHUDUMIA UKOO WAKE....
NI WAJIBU WETU MKUBWA KWAO ....
#SIEMPRE EL COMANDANTE JK NYERERE🙏
#HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE JK NYERERE🙏
😳😳😳Afadhali hata angeiba tungejua moja. Ujamaa wake ulifilisi nchi kabisa.
Kwani sera za Ujamaa na Azimio la Arusha hazikufilisi nchi?😳😳😳
Nchi zinafilisika kwa sababu ya huko KUIBA unakokupenda.....
Viongozi HAWAWAJIBIKI vyema kwa mataifa yao kwa sababu ya huo WIZI uupendao......
Nchi nyingi duniani zinaingia MIKATABA mibovu(ya kiuwekezaji) "iliyovimbiwa" unyonyaji kwa sababu ya huohuo WIZI UNAOUHUSUDU.. ...
Kweli WIZI unaupenda ila kamwe HAUWEZI kuwa ni AFYA ....
#Siempre JMT🙏
Nchi ilikuwa na nini haswa kabla ya hizo sera za ujamaa unazozichukia?!!!!Kwani sera za Ujamaa na Azimio la Arusha hazikufilisi nchi?