Aliwazuia kusoma wakabobea? Aliwazuia kulima kilimo Cha kisasa wakawa matajiri?Sawa .....
Hayati Nyerere alikuwa ni KIONGOZI BORA KABISA kupata kutokea duniani...hakuna mfano wake hata huko URUSI ,CUBA na CHINA.....
Aliwazuia UKOO wake KUTENGENEZA FURSA za kiuchumi kupitia jina lake....UKWAPUZI kupitia jina lake ...VYEO NA TEUZI kupitia jina lake .....kwani kipi KILIMZUIA ?!!!
Kwani alimuogopa nani ?!!!
TAIFA LINA DHIMA YA KUENDELEA KUUHUDUMIA UKOO WAKE....
NI WAJIBU WETU MKUBWA KWAO ....
#SIEMPRE EL COMANDANTE JK NYERERE🙏
#HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE JK NYERERE🙏
Ukabila uliondoka lakini njaa iliongezeka, bidhaa zilikuwa adimu. Sasa faida ya Ujamaa nini? Halafu biashara na makampuni yaliyotaifishwa na Nyerere baada ya Azimio la Arusha leo yako wapi?Nchi ilikuwa na nini haswa kabla ya hizo sera za ujamaa unazozichukia?!!!!
Kumbuka ni hizohizo sera za UJAMAA zilizoleta VIJIJI VYA UJAMAA.....
Ni hizohizo sera za ujamaa ziliondoa UKABILA MKUBWA....UBAGUZI MKUBWA....UCHIFU....na kuleta angalau mwingiliano uliopo.....
Azimio la Arusha lilishaachwa kutekelezwa.....hujalisoma azimio la Zanzibar ?!!!
#Siempre JMT 🙏
Kuondoka kwa ukabila si kipaumbele kikubwa sana na cha KWANZA kabisa ili mambo mengine mazuri YAFUATIE ?!!!!Ukabila uliondoka lakini njaa iliongezeka, bidhaa zilikuwa adimu. Sasa faida ya Ujamaa nini? Halafu biashara na makampuni yaliyotaifishwa na Nyerere baada ya Azimio la Arusha leo yako wapi?
Wademkaji wa kizazi hiki hamuwezi kukaribia hata robo ya personality ya Nyerere, kama viatu vya magu havikutoshi vya Nyerere utafanya nyumba ya kulala kabisa...
mkuu heshima yako 🙏Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu.
Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya kipekee ya Mtanzania huyo.....
Anasema kuwa pamoja na ucheshi na misimamo aliyokuwa nayo bado hakuna mtu atakayesema kuwa ALIMFAHAMU VYEMA labda mama Maria Nyerere😍
HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE🙏
SIEMPRE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TANZANIA KWANZA KABLA YA NAFSI ZETU💪😍👊
#Kazi Iendelee Kwa Kasi &Weledi Zaidi
Nawe ikurejee mkuu wangu 🙏🙏mkuu heshima yako 🙏
Kwa nini kuondoka kwa ukabila ni kipaumbele? Kwani tulikuwa na vita ya ukabila? Tulikuwa na umaskini na sera za Ujamaa zilizidisha huo umaskini.Kuondoka kwa ukabila si kipaumbele kikubwa sana na cha KWANZA kabisa ili mambo mengine mazuri YAFUATIE ?!!!!
#Siempre JMT🙏
Taifa la kijamaa lililoundwa na kusimikwa lilikuta pande la ardhi liitwalo Tanganyika lisilo na umoja huu uliopo zaidi ya TAWALA ZA MAKABILA na kushirikiana kwa HAYA NA YALE ya uafrika na ubinaadamu tu........Kwa nini kuondoka kwa ukabila ni kipaumbele? Kwani tulikuwa na vita ya ukabila? Tulikuwa na umaskini na sera za Ujamaa zilizidisha huo umaskini.
Ukabila hewa huo maana kulikuwa hakuna vita ya ukabila. Tatizo lilikuwa ni umaskini ambao Ujamaa wa Nyerere uliuzidisha.Taifa la kijamaa lililoundwa na kusimikwa lilikuta pande la ardhi liitwalo Tanganyika lisilo na umoja huu uliopo zaidi ya TAWALA ZA MAKABILA na kushirikiana kwa HAYA NA YALE ya uafrika na ubinaadamu tu........
Unadhani ilikuwa ni KAZI RAHISI kwa baba wa taifa kuuondoa UKABILA wa baadhi ya maeneo....hujui ama unajisahaulisha kuwa BAADHI YA MAENEO alipingwa vikali sana alipoleta wazo la kulifanya taifa moja ?!!!!
#Siempre JMT🙏
sidhani kama kuna wanaosema Nyerere hakuwa na Makosa. yeye mwenyewe aliwahi sema kuwa kuna makosa alifanya na kuwashauri watu wachukue mazuri yale ya kijinga wayaache. kipindi kile ameingia madarakani katiba haikuonekana kama ni issue kubwa kumbuka mahitaji yanakuwa na kubadilika kutokana na nyakati husika. so kama tuna chuki naye tuziweke pembeni bado nyerere alikuwa upekee ambao viongozi wa sasa hawajaweza ufikia. mpaka kuja kukubali kuwa sasa aaache mitazamo mipya kuendesha nchi ilikuwa ni akili au busara. si wenzake wengi tu walikuja ondolewa madarakani kwa mapinduzi,vita na kudhalilika?Nyerere alikuwa na mapungufu mengi Sana
Kuendelea kuwaaminisha watu hakuwa na makosa ..alikuwa kama Mungu mtu ni kuendelea kuikosea nchi..
Kwa faida ya Taifa watu waanze kujadili makosa na mapungufu yake
Turekebishe alipokosea..
Leo tunajadili katiba mpya..hakuliona hili?
😍😍sidhani kama kuna wanaosema Nyerere hakuwa na Makosa. yeye mwenyewe aliwahi sema kuwa kuna makosa alifanya na kuwashauri watu wachukue mazuri yale ya kijinga wayaache. kipindi kile ameingia madarakani katiba haikuonekana kama ni issue kubwa kumbuka mahitaji yanakuwa na kubadilika kutokana na nyakati husika. so kama tuna chuki naye tuziweke pembeni bado nyerere alikuwa upekee ambao viongozi wa sasa hawajaweza ufikia. mpaka kuja kukubali kuwa sasa aaache mitazamo mipya kuendesha nchi ilikuwa ni akili au busara. si wenzake wengi tu walikuja ondolewa madarakani kwa mapinduzi,vita na kudhalilika?
nyie watoto wa miaka ya 2000s hamjui mambo ya ukabila na athari zake katika nch. mmeshindwa hata kujifunza kwa kuangalia tu hapo jirani Kenya au Rwanda na burundi. hivi hii Elimu ya miaka hii inawaelimisha nini?Kwa nini kuondoka kwa ukabila ni kipaumbele? Kwani tulikuwa na vita ya ukabila? Tulikuwa na umaskini na sera za Ujamaa zilizidisha huo umaskini.
Kila awamu ina changamoto zake huwezi kufananisha. Yeye kwa kiwango kikubwa alikuwa anashughulika na ukombozi wa bara la afrika na akasahau vya nyumbani. Pia yeye ndiye aliyekuwa msingi wa nyumba hii iitwayo Tanzania, wengine wamekuja kujenga juu yake tu.Hakuna aliyeaaminisha kuwa alikuwa Mungu, ila kati ya viongozi waliowahi kuongoza Tanzania hadi sasa hakuna wa viwango kama Nyerere
Mtu...nyie watoto wa miaka ya 2000s hamjui mambo ya ukabila na athari zake katika nch. mmeshindwa hata kujifunza kwa kuangalia tu hapo jirani Kenya au Rwanda na burundi. hivi hii Elimu ya miaka hii inawaelimisha nini?
Jumbe...Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu.
Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya kipekee ya Mtanzania huyo.....
Anasema kuwa pamoja na ucheshi na misimamo aliyokuwa nayo bado hakuna mtu atakayesema kuwa ALIMFAHAMU VYEMA labda mama Maria Nyerere😍
HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE🙏
SIEMPRE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TANZANIA KWANZA KABLA YA NAFSI ZETU💪😍👊
#Kazi Iendelee Kwa Kasi &Weledi Zaidi
👍Jumbe...
Historia za viongozi wa Afrika zimegubikwa na kile Wazungu wanaita, mysticism, yaani kuwa na mambo ya kushangaza na kutofahamika na pengine kutisha kumfanya kiongozi athletes kwenye ubinadamu.
Ikiwa mitume wa Allah hawakupewa nguvu hizo Mwalimu Nyerere yeye atazitoa wapi?
Kuna mambo husoma na nikajizuia kueleza kile nikijuacho.
Lakini tatizo la kukaa kimya ni kuwabakisha watu katika ujinga.
Nataka nikuelezeni machache katika mengi niyajuayo ndani ya historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Hii ni historia Mwalimu Nyerere.
Mwalimu Nyerere amepata kulia ndani ya mkutano wa Halmashauri Kuu ya TANU New Street pale Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU (1954 - 1958) alipomtuhumu kwa tuhuma mbaya kabisa ya upendeleo.
Hadi leo wanahistoria wa hapa nyumbani wanamuogopa Sheikh Takadir.
Hatajwi popote kama vile hakupata kuwapo.
Nyerere siku ile alimwaga machozi na mkutano ukavunjika.
Yako mengine lakini hili linatosha kuwa jibu kwa Manyerere.
Ujamaa wa Nyerere umefilisi nchi.nyie watoto wa miaka ya 2000s hamjui mambo ya ukabila na athari zake katika nch. mmeshindwa hata kujifunza kwa kuangalia tu hapo jirani Kenya au Rwanda na burundi. hivi hii Elimu ya miaka hii inawaelimisha nini?
Manguvu yale ya kiaina. Halaf hapohapo ni muumini mzuri wa Catholic. Dunia hii ngumu sanaMtoto wa chief atakosaje mafuta ya simba
Tunammis tuntemeke sanga na kambonaUjamaa wa Nyerere umefilisi nchi.