Manyonyo kuwasha sana usiku

Nimekuelewa NAHUJA lakini kuna watu wengine humu wa ajabu sana humjui hakujui hamna mazoea naye halafu anaanza kuandika upuuzi wake humu kutaka kukuhusisha nao.

Basi BAK yaishe tu ndugu yangu, msamaheane
 
Nimekuelewa NAHUJA lakini kuna watu wengine humu wa ajabu sana humjui hakujui hamna mazoea naye halafu anaanza kuandika upuuzi wake humu kutaka kukuhusisha nao.
Calm down mpendwa humu tuko wengi na mengi, imetokea tu bahati mbaya mmepishana. Pole BAK tulia usikasirike
 
Nimekuelewa NAHUJA lakini kuna watu wengine humu wa ajabu sana humjui hakujui hamna mazoea naye halafu anaanza kuandika upuuzi wake humu kutaka kukuhusisha nao.
Chaputa wana hasira sana aisee.. haya wewe usiye mpuuzi Subiri Picha
 
Naona umenifwata Pm na kuniita taahira.... sawa mkuu... haya wewe usiye taahira.. mwenye akili nzuri na timamu kabisa... subiri picha.... inakuja kwa spidi ya hatari..
mbona hivi jamani?!!
 
Naona umenifwata Pm na kuniita taahira.... sawa mkuu... haya wewe usiye taahira.. mwenye akili nzuri na timamu kabisa... subiri picha.... inakuja kwa spidi ya hatari..
Futa hayo maongezi yenu PM na BAK ni kosa humu JF kuweka maongezi ya PM hadharani, utapata BAN nakushauri ufute ndugu yangu Dont
 
Sio kesi.

Yeye si kayaleta pm.. nimeyaleta hapa yawe mubashara kabisa....
 
kwa kanuni za hapa JF ni kosa ambalo litakupelekea kupigwa BAN Dont
Ok.. nimekusoma mkuu... ila ndio wajue akili za watu wa humu ndani... aliyejifanya akili kubwa na kuita wengine akili ndogo ndio mambo yake hayo..

Naitoa mda co mrefu...
 
Umefanya vema Dont. tuko pamoja
 
Basi jaribu kulala na mtu, uangalie kama bado utaendelea kuwashwa...

cc: mahondaw
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…