Manyonyo kuwasha sana usiku

Manyonyo kuwasha sana usiku

ahahha mimi hayawashi nishazaa hiz ndala haziwezi sumbua !lol
11847.jpg
 
Fanya yote uliyo shauriwa hapa kama yanafaa ILA kama wajipenda usiache kwenda hospital ukamuona Docta,Ogopa sana Saratani ya Nyonyo.
Mficha "nyeti" hapati mtoto.

Yaani ikifika usiku wa manane kuwe na joto au baridi, manyonyo yanawasha sana hadi kwenye chuchu!

Ushauri wenu tafadhali hasa hawa wataalam @sky eclat, na [USER=10655]@Watu8

Ahsanteni sana
[/USER]
 
Titi za muhenga hizo huoni kajiunga jf wewe bado unachezea magari ya matete..Zishakua kama Tube isiyokua na hewa
Nataka nijue za aina Gani then tujue tufanyeje kuna titi mzigo na kuna tule tunakochoma tumesimama hatari
 
Back
Top Bottom