evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Video hii hapahttps://youtu.be/AnonvADK2VA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video hii hapahttps://youtu.be/AnonvADK2VA
Hiyo video nimeiona kwa kweli yule dada ana miuno sio ya nchi hiiUmoja wa Mataifa (UN) umewapeleka likizo bila malipo wafanyakazi wake wawili ambao wanakabiliwa na kashfa ya kufanya vitendo vya ngono katika gari ya kazini nchini Israel.
Maafisa hao walipigwa picha ya video katika gari ambayo ilikuwa ina nembo ya UN- katika mji wa Tel Aviv katika mtaa wa ufukweni mwa bahari.
Katika video hiyo, mwanamke alikuwa amevalia gauni jekundu alionekana akiwa amemkalia mwanaume katika kiti cha nyuma cha gari.
UN imeanza kufanya uchunguzi wa video hiyo ya sekunde 18 ambayo imesambaa katika mitandao ya kijamii toka mwezi uliopita.
Stéphane Dujarric, msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, alikitaja kitendo hicho kinachoonekana katika kanda ya video kuwa kimemshtua na kimemchukiza.
Kufikia sasa UN imebaini kuwa wanaume hao ni waajiririwa katika taasisi yake ya Kusimamia Kusitishwa kwa Mapigano yaani Truce Supervision Organization (UNTSO).
Wawili hao wamesimamishwa kazi bila malipo yoyote mpaka uchunguzi kuhusu madai dhidi yao ukamilike.
Bwana Dujarric aliiambia BBC siku ya Alhamisi kuwa kusimamishwa kazi kwa muda kwa wafanyakazi hao ilikuwa ni hatua sahihi kutokana na ukubwa wa madai hayo ambayo ni kinyume cha utaratibu wa kazi katika kiwango cha kimataifa.
"UNTSO imeanza kampeni za kuwakumbusha wafanyakazi wake majukumu na wajibu wao kulingana na kanuni ambazo Umoja wa Mataifa umeziweka," bwana Dujarric alisema.
[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Wivuuuu kiwangoooo cha ajabuuuu....achaaa watuu wananduaneeee
Huko saudia kwa mashoga mbona hupasemiWatu wa Sodoma asili yao haipotei[emoji28]
Circumstantial evidence. Hivi kuna uhakika kuwa nanihii iko ndani ya nanilii? Mbona ni kama anarukaruka tu?Umoja wa Mataifa (UN) umewapeleka likizo bila malipo wafanyakazi wake wawili ambao wanakabiliwa na kashfa ya kufanya vitendo vya ngono katika gari ya kazini nchini Israel.
Maafisa hao walipigwa picha ya video katika gari ambayo ilikuwa ina nembo ya UN- katika mji wa Tel Aviv katika mtaa wa ufukweni mwa bahari.
Katika video hiyo, mwanamke alikuwa amevalia gauni jekundu alionekana akiwa amemkalia mwanaume katika kiti cha nyuma cha gari.
UN imeanza kufanya uchunguzi wa video hiyo ya sekunde 18 ambayo imesambaa katika mitandao ya kijamii toka mwezi uliopita.
Stéphane Dujarric, msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, alikitaja kitendo hicho kinachoonekana katika kanda ya video kuwa kimemshtua na kimemchukiza.
Kufikia sasa UN imebaini kuwa wanaume hao ni waajiririwa katika taasisi yake ya Kusimamia Kusitishwa kwa Mapigano yaani Truce Supervision Organization (UNTSO).
Wawili hao wamesimamishwa kazi bila malipo yoyote mpaka uchunguzi kuhusu madai dhidi yao ukamilike.
Bwana Dujarric aliiambia BBC siku ya Alhamisi kuwa kusimamishwa kazi kwa muda kwa wafanyakazi hao ilikuwa ni hatua sahihi kutokana na ukubwa wa madai hayo ambayo ni kinyume cha utaratibu wa kazi katika kiwango cha kimataifa.
"UNTSO imeanza kampeni za kuwakumbusha wafanyakazi wake majukumu na wajibu wao kulingana na kanuni ambazo Umoja wa Mataifa umeziweka," bwana Dujarric alisema.
Jamaa ni ny*ko sana...
Ama kweli ushamba ni mzigo! Kugonga Mojito ndiyo kufanya nini ??Hahhaa gari kukutwa ufukweni jamani ni jaribu limejitegemea!alafu ukute waligonga mojito[emoji41][emoji14]
Msukuma wewe endelea kuchunga ng'ombe ...ni kinywaji mkuuAma kweli ushamba ni mzigo! Kugonga Mojito ndiyo kufanya nini ??
Mimi nimezoea kunywa maziwa tu hiyo mojito nitaijulia wapi ?Msukuma wewe endelea kuchunga ng'ombe ...ni kinywaji mkuu
Hhaha unakunywa maziwa imekuwa mzee au mtoto wewe🤭!Mimi nimezoea kunywa maziwa tu hiyo mojito nitaijulia wapi ?