Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

CC: DAS Mstaafu Kisarawe, Aione Atoe Maoni


Kuloweka Humo Ndani Raha Sana
 
Katika video hiyo, mwanamke alikuwa amevalia gauni jekundu alionekana akiwa amemkalia mwanaume katika kiti cha nyuma cha gari.
Kufikia sasa UN imebaini kuwa wanaume hao ni waajiririwa katika taasisi yake ya Kusimamia Kusitishwa kwa Mapigano yaani Truce Supervision Organization (UNTSO).
sasa ilikuwa mwanaume kwa mwanaume au mwanaume kwa mwanamke?

Btw, watu wa haki za binaadamu wako wapi? Kazi na dawa
 
Raha Sana, Sasa Hivi COVID 19
Watu Wanakula Chakula Wana Shiba
Unategemea Wazi Wazi Mwamvuli Unakunjuka Wenyewe 😀😁😄😅😃🤣🤣

🤣🤣🤣🤭🤭🤭Pembe la ng'ombe halijifichi🤣
 
Hao hao UN waliipitisha sex kama basic need ya mwanadam.

Bas hapo vijana walikuwa wanapata basic need yao nisawa na kununua chakula cha takeaway ukaenda kulia kwenye gari
 
Awamu ya tano ipongezwe kwa kuwaaibisha mabeberu
 
Sijui watu wanawapendea nn ngozi nyeupe. Kitu black mishanga Kama yote
 
Dont mix love with a busness/ job ni hatari sanaaa
 
Back
Top Bottom