Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

Hiyo video nimeiona kwa kweli yule dada ana miuno sio ya nchi hii
 
Ndio maana vita haiishi,kumbe watu wana mambo yao tu
 
Kama kweli walikuwa wanatakana, kwanini wasiende 'gesti'?

Ndo madhara ya uhuni.

Mpaka waje wakalimalize, litakuwa limewasumbua, siyo kazini tu, hata kwenye mahusiano yao ya kifamilia!
 
Video inaonesha mwanamke amekaa tu hapo wala hajaingiziwa kitu.
Au mnasemaje waanabodi?
 
Circumstantial evidence. Hivi kuna uhakika kuwa nanihii iko ndani ya nanilii? Mbona ni kama anarukaruka tu?
 
Jamaa anakula tunda kimasiharaaaaaaaaaa....yanii izi mambo mzuqa ukikupanda waeza hamia siti ya derevaaa..endapo hii picha isingechukuliwa wangesema wamesingiziwaaaa🤣😂
 
Ndo mana hzo gari zinafungwaga tinted kuepusha haya yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…