Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake wa kuhamasisha uwepo wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi , vitu ambavyo watawala hawataki kusikia kwa vile vinahatarisha utawala wao.
Hapa ni Katavi.
Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake wa kuhamasisha uwepo wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi , vitu ambavyo watawala hawataki kusikia kwa vile vinahatarisha utawala wao.
Hapa ni Katavi.