Maombi kwa ajili ya Freeman Mbowe yazidi kurindima, leo ilikuwa zamu ya Katavi

Maombi kwa ajili ya Freeman Mbowe yazidi kurindima, leo ilikuwa zamu ya Katavi

Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Kanisani inabidi uingie na nguo gani?
 
Mingus Wetu ni mkuu manyanyaso unayomfanyia mtu vyaweza badilika kuwa ngazi ya kumuinua juu!! Wanamjenga Kuwa kiongozi jasiri atayeishinda chuki, atayechukia uonevu Kama hayati Nelson Mandela!! Ataposhinda na kutoka cdm wampokee kibingwa na azunguke nchi nzima kutangaza ushindi dhidi ya watesi wake!!
 
Ata osama bin laden pia aliombewa sana na alqaeda ili aishi maisha marefu .
 
Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Mimi nimeona mara nyingi tu kanisani kwetu siku chama tawala wakiwa na chaguzi zao siku za jumapii hungia na sare zao. Aidha waombea pia hutoa maombi yao kwa MUNGU hapa kanisani ili wafanikiwe kuchaguliwa. HAKUNA MTU ALIYEWARIPOTI POLISI KUWA WAMEINGIA NA SARE KANISANI NA KUTOA MAOMBI.
 
Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha...
Hii ni ishara mbaya kwa Polisi, wananchi hawaogopi tena ule upuuzi was kuwakamata....Mungu utubariki
 
Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
...
Watu wenyewe hao wanahitaji kuombewa😂😂😂😂😁😁😁😆😆😆😆🤣🤣🤣
 
Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Unaweza kjuwa upo sawa, lakini vazi ni vazi tu hayo mengine yanategemea aliyevaa amevaa kwa lengo gani! Pia hawa ni wanachama wa CHADEMA, wameingia kanisani kumuombea mwenyekiti na mwanachama mwenzao! Wakivaa hizo sare shida iko wapi? Mbona kwenye misa za kufunga ndoa makanisani watu wanavaa sare za kila aina na hakuna anayewakemea!
 
Binadamu anaweza kumuombea yeyote yule.....

Hata Noriega alikuwa anaombewa kule Panama......

Si ajabu hata Hitler na Himmler walikuwa wanaombewa sana kule BAVARIA.......

HIZO NI SIASA NYEPESI SANA
Unatoa mifano ya Mbali na ya kizamani sana. Juzi tu hapa Shetani Muuaji na mla nyama za watu Jiwe alikuwa anaombewa kila siku na maaskofu fake na bado akadanja
 
CCM wasiyadharau maomhi haya..!! Watapigwa dhoruba kali sana wasipotubu mapema.
 
Back
Top Bottom