Maombi kwa ajili ya Freeman Mbowe yazidi kurindima, leo ilikuwa zamu ya Katavi

Binadamu anaweza kumuombea yeyote yule.....

Hata Noriega alikuwa anaombewa kule Panama......

Si ajabu hata Hitler na Himmler walikuwa wanaombewa sana kule BAVARIA.......

HIZO NI SIASA NYEPESI SANA
Laana ya Mungu ikutafune wewe na kizazi chako chote , Amina .
 
Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa

..Mbona Mwenyekiti wa CCM, aliyetangulia, alikuwa anatimba mpaka kwenye madhabahu makanisani na kutoa hotuba za kisiasa?
 
Kutoka ndani ya Moyo wako !Mungu aonaye sirini ndani yako na akuhukumu mwenyewe!Na simama na neno katika kitabu cha KUTOKA ,"Alitajae jina la Mungu bure na alaniwe yeye na familia yake"Nami kama mtumishi wa Mungu na simama katika Madhabahu ya Kweli ,Uhukumiwe sawa sawa na maneno yako !Mungu aonekane Leo juu yako na familia yako ,Mungu na ainuke na utukufu wake juu ya maneno yako!
Umeshashindwa kwa jina la Yesu. Uzuri ni kuwa Mungu wetu ni mwenye haki na anataka haki isimame. Mbowe kama ni gaidi atapata tu hukumu anayostahili, uombe laana au la kwa wote wanaomhukumu maombi yako hayasimami. Ingekuwa hivyo mahakimu na majaji wangepata laana sana kutoka kwa waliohukumiwa. Kwanza hujui hata biblia yenyewe. Zaburi 109:17 inasema yeye apendaye kulaani watu, laana na impate yeye mwenyewe. Hakuwatakia wengine baraka, basi asipate baraka yeye mwenyewe. Kitabu cha Hesabu 23:8 pia kinasema nitamlaanije mtu ambaye Mungu hakumlaani , nitawalaumuje watu ambao Mwenyezi Mungu hakuwalaumu? Huna chembe ya mamlaka na uwezo wa kutoa laana kwangu. Uhusiano wangu na Mungu ni wa level ya juu mno na nimejaa mibaraka tele toka kwa Mwenyezi Mungu
 
Hatuwezi kuelewana najua, ila siyo sahihi nitaendelea kusisitiza hivyo kuingia na mavazi ya chama fulani kwenye nyumba ya ibada, SIYO SAHIHI
Siyo sahihi kwa CDM tu au na CCM pia? Huku vijijini watu kuingia kanisani na sare za CCM tumezoea.
Huwa wanazipata kwa wingi wakati wa chaguzi na zinakuwa Bora kuliko zile zao za kawaida-wanawake na kanga zao za kiCcm na wababa na kofia zao hivohivo.

Tatizo ni nini, sheria? Wivu? Na ikiwa hakuna sheria inayokataza, hizo fujo za kuzuia raia wasivae wapendavo zinaletwa na nani! Ili iweje?!

Naamini ingekuwa ni wafuasi wa Ccm, isingekuwa issue. Wakati mwingine kwa wivu tu, vurugu zinatokea. Au tatizo ilikuwa yale maombi? Au kuna jingine?
 
Maombi yeyote yanayofanywa kwa Mungu yatajibiwa.

Na ikiwa aliyeombewa hayo maombi ni kweli muovu na aliyatenda kweli yale yanayomkabili,

Basi atazidi kudhurika.

Ni vyema jambo lolote la maombi
,kwanza uhakikishe anayetuhumiwa na uovu huo ahusiki hata kwa 0.1%.

Vinginevyo ni kummaliza zaidi.
 
Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Wewe ni mnafiki.

Ni vyama vingapi vina wenye viti wao na viongozi wao wamezushiwa kesi. Wewe hilo umelisahau au hulioni kabisa?

Unataka CCM waende kanisani na unifomu zao kuombea kitu gani, kama si kutafuta rabsha isiyokuwa na maana yoyote!
 
Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.

Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake wa kuhamasisha uwepo wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi , vitu ambavyo watawala hawataki kusikia kwa vile vinahatarisha utawala wao .

Hapa ni Katavi .

View attachment 1903824
Wanaonekana wamelewa chakari
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Ushauri wako ni mzuri lakini jee nzi wa kijani wanayaweza hayo?
 
Umeshashindwa kwa jina la Yesu. Uzuri ni kuwa Mungu wetu ni mwenye haki na anataka haki isimame. Mbowe kama ni gaidi atapata tu hukumu anayostahili, uombe laana au la kwa wote wanaomhukumu maombi yako hayasimami. Ingekuwa hivyo mahakimu na majaji wangepata laana sana kutoka kwa waliohukumiwa. Kwanza hujui hata biblia yenyewe. Zaburi 109:17 inasema yeye apendaye kulaani watu, laana na impate yeye mwenyewe. Hakuwatakia wengine baraka, basi asipate baraka yeye mwenyewe. Kitabu cha Hesabu 23:8 pia kinasema nitamlaanije mtu ambaye Mungu hakumlaani , nitawalaumuje watu ambao Mwenyezi Mungu hakuwalaumu? Huna chembe ya mamlaka na uwezo wa kutoa laana kwangu. Uhusiano wangu na Mungu ni wa level ya juu mno na nimejaa mibaraka tele toka kwa Mwenyezi Mungu
Kila siku mnamfungulia kesi Mbowe.

Nikuulize mumemtia hatiani kwa makosa mangapi aliyoyanya?
 
Siyo sahihi kwa CDM tu au na CCM pia? Huku vijijini watu kuingia kanisani na sare za CCM tumezoea.
Huwa wanazipata kwa wingi wakati wa chaguzi na zinakuwa Bora kuliko zile zao za kawaida-wanawake na kanga zao za kiCcm na wababa na kofia zao hivohivo.
Tatizo ni nini, sheria? Wivu? Na ikiwa hakuna sheria inayokataza, hizo fujo za kuzuia raia wasivae wapendavo zinaletwa na nani! Ili iweje?! Naamini ingekuwa ni wafuasi wa Ccm, isingekuwa issue. Wakati mwingine kwa wivu tu, vurugu zinatokea. Au tatizo ilikuwa yale maombi? Au kuna jingine?
Hizo sare wanavaa bila kutaarifiana na wengine na wanaenda kumwomba Mungu tu na hawaendi kuombea ligaidi lolote.

Cdm wanavaa kwa malengo ya kufanya siasa siyo kwenda kusali.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
CHADEMA ya siku hizi imejaa vilaza sana. Chini ya Dr. Slaa hakuna angeweza kufanya hayo maigizo mnayoyafanya sasa. Mnafanya ujinga mtupu!
 
Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Mkuu sisi huku vijijini tunaingia church na nguo za CCM , CHADEMA, ACT n,k. Yaani ni kawaida kabisa na hatuna hayo mambo yenu ya huko mjini. Yaani hizi nguo huku kwetu baada ya uchaguzi ni nguo mpaka za kutokea out.
 
Back
Top Bottom