pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Siku zaja mawe yataongeaaliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zaja mawe yataongeaaliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Umenikumbusha siku ile pale Rose Garden Dom. mlivyogonganishiana gilasi baada ya kusikia Lissu kababuliwa shaba.Bavicha makauzu sana!
Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Faru John zimekwisha vichwani ndio wanakumbuka kuna maombi. Nyumbu kwa maigizo hamjambo.Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake wa kuhamasisha uwepo wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi , vitu ambavyo watawala hawataki kusikia kwa vile vinahatarisha utawala wao.
Hapa ni Katavi.
View attachment 1903824
Ni ukweli kabisa. Kuvaa hizi nguo kanisani haina maana amekwenda kufanya maombi kwa ajili ya gaidi Mbowe. Tena kijijini kuvaa nguo ya chama fulani siyo lazima uwe mfuasi wa chama hicho. Ni kudaka tu fursa ya nguo iliyopatikana.Mkuu sisi huku vijijini tunaingia church na nguo za CCM , CHADEMA, ACT n,k. Yaani ni kawaida kabisa na hatuna hayo mambo yenu ya huko mjini. Yaani hizi nguo huku kwetu baada ya uchaguzi ni nguo mpaka za kutokea out.
Unakuwaga na maudhui mazuri lkn ikitajwa Chadema tu unachanganyikiwa. Jifunze kuvumilia wengine. Ndio maana Kuna wenye mapenzi na Simba na wengine Yanga.Kauzu limekuwa tusi tangu lini?
Unaijua Kauzu FC wewe?
Au bsdo unaishi migombani!
Hiyo ni topic nyingine kabisa, wale maadui aliowasema Nyerere bado wapo hasa UJINGA na Umasikini, tutajadili siku nyingine ila naendelea kusisitiza kuingia na nguo za chama kwenye nyumba ya ibada SIYO SAHIHIMkuu sisi huku vijijini tunaingia church na nguo za CCM , CHADEMA, ACT n,k. Yaani ni kawaida kabisa na hatuna hayo mambo yenu ya huko mjini. Yaani hizi nguo huku kwetu baada ya uchaguzi ni nguo mpaka za kutokea out.
wanajidharirisha sana kumuombea gaidi atoke ni ujinga usio na kifaniWananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake wa kuhamasisha uwepo wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi , vitu ambavyo watawala hawataki kusikia kwa vile vinahatarisha utawala wao.
Hapa ni Katavi.
Kuingia kwenye nyumba ya Ibada na nguo ya chama cha siasa SIYO SAHIHIUshauri wako ni mzuri lakini jee nzi wa kijani wanayaweza hayo?
Kwa chama cha Siasa chochote SIYO SAHIHISiyo sahihi kwa CDM tu au na CCM pia? Huku vijijini watu kuingia kanisani na sare za CCM tumezoea.
Huwa wanazipata kwa wingi wakati wa chaguzi na zinakuwa Bora kuliko zile zao za kawaida-wanawake na kanga zao za kiCcm na wababa na kofia zao hivohivo.
Tatizo ni nini, sheria? Wivu? Na ikiwa hakuna sheria inayokataza, hizo fujo za kuzuia raia wasivae wapendavo zinaletwa na nani! Ili iweje?!
Naamini ingekuwa ni wafuasi wa Ccm, isingekuwa issue. Wakati mwingine kwa wivu tu, vurugu zinatokea. Au tatizo ilikuwa yale maombi? Au kuna jingine?
Kuingia Kanisani au Msikitini na nguo yenye mlengo wa chama cha Siasa SIYO SAHIHI, hivyo tu umeelewaKanisani inabidi uingie na nguo gani?
Nasisitiza tu, kuingia nyumba ya Ibada na nguo ya Chama cha Siasa,SIYO SAHIHI ......Unaweza kjuwa upo sawa, lakini vazi ni vazi tu hayo mengine yanategemea aliyevaa amevaa kwa lengo gani! Pia hawa ni wanachama wa CHADEMA, wameingia kanisani kumuombea mwenyekiti na mwanachama mwenzao! Wakivaa hizo sare shida iko wapi? Mbona kwenye misa za kufunga ndoa makanisani watu wanavaa sare za kila aina na hakuna anayewakemea!
CHUKI yako ndio inayokufa uzeeke na miaka 20Bavicha makauzu sana!
Binadamu anaweza kumuombea yeyote yule.
Hata Noriega alikuwa anaombewa kule Panama.
Si ajabu hata Hitler na Himmler walikuwa wanaombewa sana kule BAVARIA.
HIZO NI SIASA NYEPESI SANA
Ni kwelii sio vizuri. Lkn Kama lengo mahusis Ni kwa ajili ya maombi hayo sio mbaya.Hatuwezi kuelewana najua, ila siyo sahihi nitaendelea kusisitiza hivyo kuingia na mavazi ya chama fulani kwenye nyumba ya ibada, SIYO SAHIHI
SIYO SAHIHINi kwelii sio vizuri. Lkn Kama lengo mahusis Ni kwa ajili ya maombi hayo sio mbaya.
Mdomo wako siyo spika ya malaika wa BWANA.....Laana ya Mungu ikutafune wewe na kizazi chako chote , Amina .
Maombi ya kumwombea Gaidi Mbowe? Mbona wako wawili tu naona watoto wanawashangaa tu.Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake wa kuhamasisha uwepo wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi , vitu ambavyo watawala hawataki kusikia kwa vile vinahatarisha utawala wao.
Hapa ni Katavi.