Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Laana ya Mungu ikutafune wewe na kizazi chako chote , Amina .Binadamu anaweza kumuombea yeyote yule.....
Hata Noriega alikuwa anaombewa kule Panama......
Si ajabu hata Hitler na Himmler walikuwa wanaombewa sana kule BAVARIA.......
HIZO NI SIASA NYEPESI SANA
Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Laana ya milele ikutafune wewe na kizazi chako chote , AminaYaani mnaliombea ligaidi? Kweli nyie hamna kazi.
Umeshashindwa kwa jina la Yesu. Uzuri ni kuwa Mungu wetu ni mwenye haki na anataka haki isimame. Mbowe kama ni gaidi atapata tu hukumu anayostahili, uombe laana au la kwa wote wanaomhukumu maombi yako hayasimami. Ingekuwa hivyo mahakimu na majaji wangepata laana sana kutoka kwa waliohukumiwa. Kwanza hujui hata biblia yenyewe. Zaburi 109:17 inasema yeye apendaye kulaani watu, laana na impate yeye mwenyewe. Hakuwatakia wengine baraka, basi asipate baraka yeye mwenyewe. Kitabu cha Hesabu 23:8 pia kinasema nitamlaanije mtu ambaye Mungu hakumlaani , nitawalaumuje watu ambao Mwenyezi Mungu hakuwalaumu? Huna chembe ya mamlaka na uwezo wa kutoa laana kwangu. Uhusiano wangu na Mungu ni wa level ya juu mno na nimejaa mibaraka tele toka kwa Mwenyezi MunguKutoka ndani ya Moyo wako !Mungu aonaye sirini ndani yako na akuhukumu mwenyewe!Na simama na neno katika kitabu cha KUTOKA ,"Alitajae jina la Mungu bure na alaniwe yeye na familia yake"Nami kama mtumishi wa Mungu na simama katika Madhabahu ya Kweli ,Uhukumiwe sawa sawa na maneno yako !Mungu aonekane Leo juu yako na familia yako ,Mungu na ainuke na utukufu wake juu ya maneno yako!
Hamna cha laana wala nini.Laana ya milele ikutafune wewe na kizazi chako chote , Amina
Bavicha makauzu sana!
Siyo sahihi kwa CDM tu au na CCM pia? Huku vijijini watu kuingia kanisani na sare za CCM tumezoea.Hatuwezi kuelewana najua, ila siyo sahihi nitaendelea kusisitiza hivyo kuingia na mavazi ya chama fulani kwenye nyumba ya ibada, SIYO SAHIHI
Wewe ni mnafiki.Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Wanaonekana wamelewa chakariWananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake wa kuhamasisha uwepo wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi , vitu ambavyo watawala hawataki kusikia kwa vile vinahatarisha utawala wao .
Hapa ni Katavi .
View attachment 1903824
Wewe hatuna shida nawe maana njia ya Mwendazake iko karibu yako. Waovu wote mtamfuata tuBavicha makauzu sana!
Mungu ibariki CHADEMAWananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha.
Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake wa kuhamasisha uwepo wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi , vitu ambavyo watawala hawataki kusikia kwa vile vinahatarisha utawala wao .
Hapa ni Katavi .
View attachment 1903824
Ushauri wako ni mzuri lakini jee nzi wa kijani wanayaweza hayo?Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa
Kila siku mnamfungulia kesi Mbowe.Umeshashindwa kwa jina la Yesu. Uzuri ni kuwa Mungu wetu ni mwenye haki na anataka haki isimame. Mbowe kama ni gaidi atapata tu hukumu anayostahili, uombe laana au la kwa wote wanaomhukumu maombi yako hayasimami. Ingekuwa hivyo mahakimu na majaji wangepata laana sana kutoka kwa waliohukumiwa. Kwanza hujui hata biblia yenyewe. Zaburi 109:17 inasema yeye apendaye kulaani watu, laana na impate yeye mwenyewe. Hakuwatakia wengine baraka, basi asipate baraka yeye mwenyewe. Kitabu cha Hesabu 23:8 pia kinasema nitamlaanije mtu ambaye Mungu hakumlaani , nitawalaumuje watu ambao Mwenyezi Mungu hakuwalaumu? Huna chembe ya mamlaka na uwezo wa kutoa laana kwangu. Uhusiano wangu na Mungu ni wa level ya juu mno na nimejaa mibaraka tele toka kwa Mwenyezi Mungu
Kwani bavicha huko kwenye Saccos Ni Mungu?Endelea kumtukana Mungu yakukute ya Mwendaji
Kwahiyo wale jamaa wawili ndo wanafanya maombi kurindima?biblia haijakataza mavazi ya chama chochote
Hizo sare wanavaa bila kutaarifiana na wengine na wanaenda kumwomba Mungu tu na hawaendi kuombea ligaidi lolote.Siyo sahihi kwa CDM tu au na CCM pia? Huku vijijini watu kuingia kanisani na sare za CCM tumezoea.
Huwa wanazipata kwa wingi wakati wa chaguzi na zinakuwa Bora kuliko zile zao za kawaida-wanawake na kanga zao za kiCcm na wababa na kofia zao hivohivo.
Tatizo ni nini, sheria? Wivu? Na ikiwa hakuna sheria inayokataza, hizo fujo za kuzuia raia wasivae wapendavo zinaletwa na nani! Ili iweje?! Naamini ingekuwa ni wafuasi wa Ccm, isingekuwa issue. Wakati mwingine kwa wivu tu, vurugu zinatokea. Au tatizo ilikuwa yale maombi? Au kuna jingine?
Mkuu sisi huku vijijini tunaingia church na nguo za CCM , CHADEMA, ACT n,k. Yaani ni kawaida kabisa na hatuna hayo mambo yenu ya huko mjini. Yaani hizi nguo huku kwetu baada ya uchaguzi ni nguo mpaka za kutokea out.Jambo wanalofanya la kumuombea ni jema ila kuingia Kanisani na uniforms za chama binafsi naona si sahihi, kila chama kikiamua kifanya hivyo itakuwa chaos.........nadhani kuna jambo vyama inatakiwa viwe makini na hizi Siasa