Maombi kwa ajili ya Freeman Mbowe yazidi kurindima, leo ilikuwa zamu ya Katavi

Hiyo ni topic nyingine kabisa, wale maadui aliowasema Nyerere bado wapo hasa UJINGA na Umasikini, tutajadili siku nyingine ila naendelea kusisitiza kuingia na nguo za chama kwenye nyumba ya ibada SIYO SAHIHI
Sio sahihi kwa mtazamo wako wewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…