Maombi maalum ya kitaifa kwa ajili ya bandari

Mbona kwenye madini hamuongei kitu
Mikataba ya madini Ina LIMIT na Serikali hupata angalau kiduchu,

Pia zipo SHERIA zinazowabana wawekezaji kuhusu ajira za wazawa kulindwa,

Dude Hilo la Bandari ni Bure kabisa, mkataba unampa Kila kitu DP World,

Haikubaliki!!!
 
Kwa kuwa wameuza raslimali zetu tulizopewa na Mola na kugawana hizo fedha za urithi wa nchi yetu kwa faida yao na watoto wao tunakuomba wewe Mola usiyelala na unaekesha daima kusikiliza maombi yetu ukasikilize DUA ZETU ;
1.
Waliopokea fedha au ahadi ya chochote zikawe laana kwao na watoto wao zikalete mfarakano na magonjwa ktk familia. Na wote tuseme AMEN
🚶
 
Hili la bandari ni barabarani tu, wataelewa kwa lugha wanazopenda wao.
Mkoa wa Mara kuhusu mafuta na bei yake, walioingia barabarani. Majibu ya kuingia barabarani yapo, na bei ninadhani ni zile zile hazikubadirika!
 
Wapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na kuigawa bure kwa waarabu.

Hali ambayo itapelekea pia usalama wa nchi yetu kuwa mashakani! Lakini pia bandari ni lango kuu la uchumi kwa nchi yetu hivyo kuitoa bure kwa wageni italifanya taifa lizidi kuwa maskini na kuleta shida na umaskini kwa vizazi vya watoto wetu.

Itakuwa ni laana kubwa kwetu Kwa machozi ya vizazi vijavyo,hivyo ninapendeleza tumuombee na kumlilia Mungu atusaidie kwa namna atakavyoamua yeye Ili urithi huu aliotupa ubaki salama mikononi mwetu sisi watoto wake ambao ameamua yeye kwamba pawe ndio nchi yetu.

Tulie mbele zake Mungu kwa maumivu makubwa moyoni hakika atatusikia na kutujibu. Na wote waliohusika na uharibifu huu wa rasilimali yetu hii pamoja na wengine wa gas na madini adhabu yake ikawe juu Yao na vizazi vyao.

Amen
 
Tunaendelea kuomba na itafahamika kama Mungu tunayemwomba Ni Mungu wa Israeli mwenye Makao yake Mbinguni kwemye Kiti Cha Enzi.

Kabla ya Mwaka huu kupita.
 
Wapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na kuigawa bure kwa waarabu.

Hali ambayo itapelekea pia usalama wa nchi yetu kuwa mashakani! Lakini pia bandari ni lango kuu la uchumi kwa nchi yetu hivyo kuitoa bure kwa wageni italifanya taifa lizidi kuwa maskini na kuleta shida na umaskini kwa vizazi vya watoto wetu.

Itakuwa ni laana kubwa kwetu Kwa machozi ya vizazi vijavyo,hivyo ninapendeleza tumuombee na kumlilia Mungu atusaidie kwa namna atakavyoamua yeye Ili urithi huu aliotupa ubaki salama mikononi mwetu sisi watoto wake ambao ameamua yeye kwamba pawe ndio nchi yetu.

Tulie mbele zake Mungu kwa maumivu makubwa moyoni hakika atatusikia na kutujibu. Na wote waliohusika na uharibifu huu wa rasilimali yetu hii pamoja na wengine wa gas na madini adhabu yake ikawe juu Yao na vizazi vyao.

Amen
USHAURI MZURI KUNA WATU WANAJIFANYA WAO NDIO KILA KITU TUMWOMBE MUNGU ATUFANYIE UAMUZI MUNGU NI FUNDI SANA
 
Umekosa kazi mjumbe nenda Mirembe watakupa kazi
Kama kushauri watu wamuombe Mungu ni kukosa kazi, na ijulikane leo hii ya kwamba Mungu hadhihakiwi na akuonyeshe uwepo wake.
 
Kwa kuwa wameuza raslimali zetu tulizopewa na Mola na kugawana hizo fedha za urithi wa nchi yetu kwa faida yao na watoto wao tunakuomba wewe Mola usiyelala na unaekesha daima kusikiliza maombi yetu ukasikilize DUA ZETU ;
1.
Waliopokea fedha au ahadi ya chochote zikawe laana kwao na watoto wao zikalete mfarakano na magonjwa ktk familia. Na wote tuseme AMEN
Amen
 
Wapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na kuigawa bure kwa waarabu.

Hali ambayo itapelekea pia usalama wa nchi yetu kuwa mashakani! Lakini pia bandari ni lango kuu la uchumi kwa nchi yetu hivyo kuitoa bure kwa wageni italifanya taifa lizidi kuwa maskini na kuleta shida na umaskini kwa vizazi vya watoto wetu.

Itakuwa ni laana kubwa kwetu Kwa machozi ya vizazi vijavyo,hivyo ninapendeleza tumuombee na kumlilia Mungu atusaidie kwa namna atakavyoamua yeye Ili urithi huu aliotupa ubaki salama mikononi mwetu sisi watoto wake ambao ameamua yeye kwamba pawe ndio nchi yetu.

Tulie mbele zake Mungu kwa maumivu makubwa moyoni hakika atatusikia na kutujibu. Na wote waliohusika na uharibifu huu wa rasilimali yetu hii pamoja na wengine wa gas na madini adhabu yake ikawe juu Yao na vizazi vyao.

Amen
Sio viongozi wa dini zote, sema viongozi Wakristo tu
 
Kamanda Mwambukusi, Dr Slaa, Prof Shivji, Aikaeli Mbowe, Mzee Spunda, Mbatia, na wengine wengi waongoze njia nasi kwa maelfu tufuate Ili tumarch barabarani kuonyesha ujasiri wetu juu ya nchi yetu.
Hao uliowataja wote hakuna aliye tayari.
Wao waandalie jukwaa makamera mengi baaaas
 
Back
Top Bottom