Maombi maalum ya kitaifa kwa ajili ya bandari

Na wewe uliwahi kuandama au mpigadebe tu hapa jf
Mrema ilikuwa chupuchupu achukue Nchi, ikabidi Mwalimu Nyerere atoke butiama kuja kuokoa jahazi.

Unayedhani hapakuwa na maandamano before unajidanganya.
 
makuwadi ya warabu nani anataka watoto wenu uzao wa makuwadi/puppets kuingia mitaani, wataingi wazalendo watanganyika wenye uchungu na tanganyika sio nyie makuwadi ya warabu kutoka zanzibar
Ingieni basi...
 
Mrema ilikuwa chupuchupu achukue Nchi, ikabidi Mwalimu Nyerere atoke butiama kuja kuokoa jahazi.

Unayedhani hapakuwa na maandamano before unajidanganya.
Andamana basi.
Kelele za nini tena
 
Wapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na kuigawa bure kwa waarabu.

Hali ambayo itapelekea pia usalama wa nchi yetu kuwa mashakani! Lakini pia bandari ni lango kuu la uchumi kwa nchi yetu hivyo kuitoa bure kwa wageni italifanya taifa lizidi kuwa maskini na kuleta shida na umaskini kwa vizazi vya watoto wetu.

Itakuwa ni laana kubwa kwetu Kwa machozi ya vizazi vijavyo,hivyo ninapendeleza tumuombee na kumlilia Mungu atusaidie kwa namna atakavyoamua yeye Ili urithi huu aliotupa ubaki salama mikononi mwetu sisi watoto wake ambao ameamua yeye kwamba pawe ndio nchi yetu.

Tulie mbele zake Mungu kwa maumivu makubwa moyoni hakika atatusikia na kutujibu. Na wote waliohusika na uharibifu huu wa rasilimali yetu hii pamoja na wengine wa gas na madini adhabu yake ikawe juu Yao na vizazi vyao.

Amen
🙏Amen
 
Utapokea matusi hapa toka kwa wanufaika wa posho toka dili la DP world!!
 
Back
Top Bottom