Mikataba ya madini Ina LIMIT na Serikali hupata angalau kiduchu,Mbona kwenye madini hamuongei kitu
🚶Kwa kuwa wameuza raslimali zetu tulizopewa na Mola na kugawana hizo fedha za urithi wa nchi yetu kwa faida yao na watoto wao tunakuomba wewe Mola usiyelala na unaekesha daima kusikiliza maombi yetu ukasikilize DUA ZETU ;
1. Waliopokea fedha au ahadi ya chochote zikawe laana kwao na watoto wao zikalete mfarakano na magonjwa ktk familia. Na wote tuseme AMEN
Mkoa wa Mara kuhusu mafuta na bei yake, walioingia barabarani. Majibu ya kuingia barabarani yapo, na bei ninadhani ni zile zile hazikubadirika!Hili la bandari ni barabarani tu, wataelewa kwa lugha wanazopenda wao.
mazuzu ni yale makuwadi ya warabu yanayoshabikia mazuzu menzao yaliyohongwa.Zama za kutufanya mazuzu zishaisha. Utaandamana wewe na familia yako.
Kuingia mtaani familia zenu zitang
makuwadi ya warabu nani anataka watoto wenu uzao wa makuwadi/puppets kuingia mitaani, wataingi wazalendo watanganyika wenye uchungu na tanganyika sio nyie makuwadi ya warabu kutoka zanzibarulie siyo watoto wetu
Wapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na kuigawa bure kwa waarabu.
Hali ambayo itapelekea pia usalama wa nchi yetu kuwa mashakani! Lakini pia bandari ni lango kuu la uchumi kwa nchi yetu hivyo kuitoa bure kwa wageni italifanya taifa lizidi kuwa maskini na kuleta shida na umaskini kwa vizazi vya watoto wetu.
Itakuwa ni laana kubwa kwetu Kwa machozi ya vizazi vijavyo,hivyo ninapendeleza tumuombee na kumlilia Mungu atusaidie kwa namna atakavyoamua yeye Ili urithi huu aliotupa ubaki salama mikononi mwetu sisi watoto wake ambao ameamua yeye kwamba pawe ndio nchi yetu.
Tulie mbele zake Mungu kwa maumivu makubwa moyoni hakika atatusikia na kutujibu. Na wote waliohusika na uharibifu huu wa rasilimali yetu hii pamoja na wengine wa gas na madini adhabu yake ikawe juu Yao na vizazi vyao.
Amen
Tunaendelea kuomba na itafahamika kama Mungu tunayemwomba Ni Mungu wa Israeli mwenye Makao yake Mbinguni kwemye Kiti Cha Enzi.Wapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na kuigawa bure kwa waarabu.
Hali ambayo itapelekea pia usalama wa nchi yetu kuwa mashakani! Lakini pia bandari ni lango kuu la uchumi kwa nchi yetu hivyo kuitoa bure kwa wageni italifanya taifa lizidi kuwa maskini na kuleta shida na umaskini kwa vizazi vya watoto wetu.
Itakuwa ni laana kubwa kwetu Kwa machozi ya vizazi vijavyo,hivyo ninapendeleza tumuombee na kumlilia Mungu atusaidie kwa namna atakavyoamua yeye Ili urithi huu aliotupa ubaki salama mikononi mwetu sisi watoto wake ambao ameamua yeye kwamba pawe ndio nchi yetu.
Tulie mbele zake Mungu kwa maumivu makubwa moyoni hakika atatusikia na kutujibu. Na wote waliohusika na uharibifu huu wa rasilimali yetu hii pamoja na wengine wa gas na madini adhabu yake ikawe juu Yao na vizazi vyao.
Amen
Mkuu hao jamaa watatuchinja hawaogopi kitu. Sisi tumlilie Mungu kama tulivyolia 2020.Hili jambo linahitaji maombi, Mungu atupe ujasiri na moyo wa kutoogopa tuingie mitaani hadi kieleweke.
Na bandari inayouzwa ni yako na Baba yakoZama za kutufanya mazuzu zishaisha. Utaandamana wewe na familia yako.
AmenHili jambo linahitaji maombi, Mungu atupe ujasiri na moyo wa kutoogopa tuingie mitaani hadi kieleweke.
Wewe ndio mzururajiUmekosa kazi
Wajinga ni wengi humuIla watu wa humu [emoji23][emoji23]
USHAURI MZURI KUNA WATU WANAJIFANYA WAO NDIO KILA KITU TUMWOMBE MUNGU ATUFANYIE UAMUZI MUNGU NI FUNDI SANAWapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na kuigawa bure kwa waarabu.
Hali ambayo itapelekea pia usalama wa nchi yetu kuwa mashakani! Lakini pia bandari ni lango kuu la uchumi kwa nchi yetu hivyo kuitoa bure kwa wageni italifanya taifa lizidi kuwa maskini na kuleta shida na umaskini kwa vizazi vya watoto wetu.
Itakuwa ni laana kubwa kwetu Kwa machozi ya vizazi vijavyo,hivyo ninapendeleza tumuombee na kumlilia Mungu atusaidie kwa namna atakavyoamua yeye Ili urithi huu aliotupa ubaki salama mikononi mwetu sisi watoto wake ambao ameamua yeye kwamba pawe ndio nchi yetu.
Tulie mbele zake Mungu kwa maumivu makubwa moyoni hakika atatusikia na kutujibu. Na wote waliohusika na uharibifu huu wa rasilimali yetu hii pamoja na wengine wa gas na madini adhabu yake ikawe juu Yao na vizazi vyao.
Amen
Jaribuni muone, kudadeki tutawapa kichapo mpaka mtakumbuka kwamba nyie ni wakimbizi tu, ya kwenu ni rwandaaaaaa ya tanzania hayawahusuHili la bandari ni barabarani tu, wataelewa kwa lugha wanazopenda wao.
Kama kushauri watu wamuombe Mungu ni kukosa kazi, na ijulikane leo hii ya kwamba Mungu hadhihakiwi na akuonyeshe uwepo wake.Umekosa kazi mjumbe nenda Mirembe watakupa kazi
AmenKwa kuwa wameuza raslimali zetu tulizopewa na Mola na kugawana hizo fedha za urithi wa nchi yetu kwa faida yao na watoto wao tunakuomba wewe Mola usiyelala na unaekesha daima kusikiliza maombi yetu ukasikilize DUA ZETU ;
1. Waliopokea fedha au ahadi ya chochote zikawe laana kwao na watoto wao zikalete mfarakano na magonjwa ktk familia. Na wote tuseme AMEN
Sio viongozi wa dini zote, sema viongozi Wakristo tuWapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na kuigawa bure kwa waarabu.
Hali ambayo itapelekea pia usalama wa nchi yetu kuwa mashakani! Lakini pia bandari ni lango kuu la uchumi kwa nchi yetu hivyo kuitoa bure kwa wageni italifanya taifa lizidi kuwa maskini na kuleta shida na umaskini kwa vizazi vya watoto wetu.
Itakuwa ni laana kubwa kwetu Kwa machozi ya vizazi vijavyo,hivyo ninapendeleza tumuombee na kumlilia Mungu atusaidie kwa namna atakavyoamua yeye Ili urithi huu aliotupa ubaki salama mikononi mwetu sisi watoto wake ambao ameamua yeye kwamba pawe ndio nchi yetu.
Tulie mbele zake Mungu kwa maumivu makubwa moyoni hakika atatusikia na kutujibu. Na wote waliohusika na uharibifu huu wa rasilimali yetu hii pamoja na wengine wa gas na madini adhabu yake ikawe juu Yao na vizazi vyao.
Amen
Anza kuingia wewe tukuoneHili la bandari ni barabarani tu, wataelewa kwa lugha wanazopenda wao.
Na wewe uliwahi kuandama au mpigadebe tu hapa jfEndelea kukariri,
Pale KARIAKOO watu wale walitoka JF sio!!
Hao uliowataja wote hakuna aliye tayari.Kamanda Mwambukusi, Dr Slaa, Prof Shivji, Aikaeli Mbowe, Mzee Spunda, Mbatia, na wengine wengi waongoze njia nasi kwa maelfu tufuate Ili tumarch barabarani kuonyesha ujasiri wetu juu ya nchi yetu.