Tafuta kwanza chuo. Ujue gharama husika ndio urudi huku.Mimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level.
Ninatamani kujiendeleza kimasomo ila sina uwezo natamani nikaanze certficate in in bussiness managment.
Naomba anayejua wanaotoa ufadhili wa masomo tafadhali aniunganishe au anayeweza kunifadhili nikaanza certificate naomba msaada.
Asanteni.
NilishatafutaTafuta kwanza chuo. Ujue gharama husika ndio urudi huku.
Weka gharama zake.Nilishatafuta
Gharama ni kiasi gani? Na masomo yanaanza lini? Kozi inqchukua muda gani kumaliza?Nilishatafuta
Labda unatamani baba mtoto amsomeshe ila vipi kama hana uwezo pia? Unaona ugumu kukataa moja kwa mojaBaba watoto Yuko wapi (Kwa faida ya wasomaji)
Mimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level.
Ninatamani kujiendeleza kimasomo ila sina uwezo natamani nikaanze certficate in in bussiness managment.
Naomba anayejua wanaotoa ufadhili wa masomo tafadhali aniunganishe au anayeweza kunifadhili nikaanza certificate naomba msaada.
Baba? Mama? Family history yako maana ujue ufadhili una criteria zake nyingi labda kama ajitokeze mtu binafsi ila sikukatishi tamaa ongezea kidogo maelezo yako siunajua ili mtu aguswe lazima kuwe na maelezo yaliyoshiba
π€£π€£π€£π€£ sitaki dhambi.Kuna mambo nimejikuta nawazaaaaaa.....
Then nimeona nisiandike tu hapa sababu naweza onekana kama mkatili.
Yaani ulizaa mtoto wa 1, 2, 3 na 4 ndipo unakuja kukumbuka kurudi shule...π€
Anyways, pengine mimi nina fikiria kwa utofauti mkuu.......
Ok, ukisha pata mfadhi na ukaanza kwenda shule... watoto wako watakua wanahudumiwa na nani...??
Na...... hivi kweli unaona ni rahisi tu kuomba kusaidiwa na ukafanikiwa ilkhali tayari umezaa watoto 4 pasipo kuelezea kwanini ulifikia kuzaa watoto 4 kwanza ukitarajia nani atakusomesha baada ya kumaliza kuzaa...π
Bila shaka wewe ni mkatili na unajitambua kuwa ni mkatili.Kuna mambo nimejikuta nawazaaaaaa.....
Then nimeona nisiandike tu hapa sababu naweza onekana kama mkatili.
Yaani ulizaa mtoto wa 1, 2, 3 na 4 ndipo unakuja kukumbuka kurudi shule...π€
Anyways, pengine mimi nina fikiria kwa utofauti mkuu.......
Ok, ukisha pata mfadhi na ukaanza kwenda shule... watoto wako watakua wanahudumiwa na nani...??
Na...... hivi kweli unaona ni rahisi tu kuomba kusaidiwa na ukafanikiwa ilkhali tayari umezaa watoto 4 pasipo kuelezea kwanini ulifikia kuzaa watoto 4 kwanza ukitarajia nani atakusomesha baada ya kumaliza kuzaa...π
Sawa,asanteJaribu kafungue ukurasa wa gofundme
Ada ni million 1, kozi inachukua muda wa mwaka mmoja , masomo ni bussine managementGharama ni kiasi gani? Na masomo yanaanza lini? Kozi inqchukua muda gani kumaliza?
miaka 27 watoto wa 4? Maendeleo hayana chamaMimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level.