Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hakuekewa uzazi wa mpango darasani aumiaka 27 watoto wa 4? Maendeleo hayana chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuekewa uzazi wa mpango darasani aumiaka 27 watoto wa 4? Maendeleo hayana chama
Ada 1m ,chuo St joseph college morogoro,muda wa kozi mwaka mmojaTafuta kwanza chuo. Ujue gharama husika ndio urudi huku.
Acha roho ya kimasikini.elimu Haina mwisho.Kuna mambo nimejikuta nawazaaaaaa.....
Then nimeona nisiandike tu hapa sababu naweza onekana kama mkatili.
Yaani ulizaa mtoto wa 1, 2, 3 na 4 ndipo unakuja kukumbuka kurudi shule...🤔
Anyways, pengine mimi nina fikiria kwa utofauti mkuu.......
Ok, ukisha pata mfadhi na ukaanza kwenda shule... watoto wako watakua wanahudumiwa na nani...??
Na...... hivi kweli unaona ni rahisi tu kuomba kusaidiwa na ukafanikiwa ilkhali tayari umezaa watoto 4 pasipo kuelezea kwanini ulifikia kuzaa watoto 4 kwanza ukitarajia nani atakusomesha baada ya kumaliza kuzaa...🙄
Utaungama mazee...😊🤣🤣🤣🤣 sitaki dhambi.
Hizi ndizo akili za mtu mweusi zinavyo furahia kuonekana mwema kumbe sivyo kabisa.Bila shaka wewe ni mkatili na unajitambua kuwa ni mkatili.
Kuzaa watoto wanne sio big issue kabisa. KUBWA ANAOMBA ASAIDIWE ATIMIZE NDOTO ZAKE.
"Kama hatutaweza kumsaidia basi tusimuumize kwa hali yake".
Elimu haina mwisho kama unao uwezo wa kuipata hiyo elimu mzee....Acha roho ya kimasikini.elimu Haina mwisho.
Naunga mkono hili wazo, labda pengine angeomba kusaidiwa mtaji kidogo ninhemuelewa mleta mada.Miaka 27 tayari unawatoto wanne hutofika popote Lea watoto
Kwa umri huo kwakweli inafikirisha sana, binti anadhani maisha ni rahisi sana pengine.miaka 27 watoto wa 4? Maendeleo hayana chama
Alishajiumiza mwenyewe.Bila shaka wewe ni mkatili na unajitambua kuwa ni mkatili.
Kuzaa watoto wanne sio big issue kabisa. KUBWA ANAOMBA ASAIDIWE ATIMIZE NDOTO ZAKE.
"Kama hatutaweza kumsaidia basi tusimuumize kwa hali yake".
4 kids na uko 27 yrs old?[emoji50] uko serious na hili bandiko lako au umekuja kufurahisha jukwaa mkuu? like how comes[emoji32]??Mimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level.
Ninatamani kujiendeleza kimasomo ila sina uwezo natamani nikaanze certficate in in bussiness managment.
Naomba anayejua wanaotoa ufadhili wa masomo tafadhali aniunganishe au anayeweza kunifadhili nikaanza certificate naomba msaada.
Asanteni.
Sawa mkuu, nimekusoma.Hizi ndizo akili za mtu mweusi zinavyo furahia kuonekana mwema kumbe sivyo kabisa.
Kwangu mimi hainikai akilini kwamba mtu anaamua kuzaa 4 kids then anakuja kuomba msaada wa kusomeshwa mazee......
This is higher level of stupidity of blacks
Tumchangie mtaji mm najitolea kukusanya michangoNaunga mkono hili wazo, labda pengine angeomba kusaidiwa mtaji kidogo ninhemuelewa mleta mada.
Hizi ndizo akili za mtu mweusi zinavyo furahia kuonekana mwema kumbe sivyo kabisa.
Kwangu mimi hainikai akilini kwamba mtu anaamua kuzaa 4 kids then anakuja kuomba msaada wa kusomeshwa mazee......
This is higher level of stupidity of blacks
You have already said this is the highest level of stupidity !Is that not enough?Kwa umri huo kwakweli inafikirisha sana, binti anadhani maisha ni rahisi sana pengine.
Anyways......
Alafu hapo eti anaomba kusaidiwa elimu alafu hataki ahojiwe baba wa watoto yupo wapi ama ilikuaje amefanikiwa kupata kwanza watoto 4 at 27 then ndipo anakuja kukumbuka kusoma leo....🤔
Hiki kitu unafanya kilifanywa na mama yangu mzazi way back 2004. Lakini kwa hali ya ajira ya sasa sidhani kama inawezekana kuona faida ya elimu kirahisi ushindani ni mkubwa na nafasi ni chache.Ada 1m ,chuo St joseph college morogoro,muda wa kozi mwaka mmoja
Hili ni wazo bora sana mkuu, ingawa nina mashaka kama Agripina ataweza maana alisha jaribu kufanya biashara ya ndizi na viazi huko Mbeya.Tumchangie mtaji mm najitolea kukusanya michango
Lea watoto. Haukuandikiwa barua ya maombi uwe na watoto wanne huku huna kazi. Umeulizwa baba watoto yuko wapi haujibu. Unadhani kuna mwendawazimu ataharibu pesa yake kukulipia chuo mama wa watoto wanne ambaye hataji alipo baba watoto wake? KAZI YAKO KWA SASA NI KULEA WATOTO NA SIO VINGINEVYO.You have already said this is the highest level of stupidity !Is that not enough?
Not enough sweetheart, wewe ulisha jiumiza mwenyewe na leo maumivu haya ni matokeo ya kile ulicho kipanda.You have already said this is the highest level of stupidity !Is that not enough?