Maombi ya kufadhiliwa masomo ya chuo

Maombi ya kufadhiliwa masomo ya chuo

baba wa watoto huyu hapa
GSY2ZwAWwAAXivk.jpg
 
Kuna mambo nimejikuta nawazaaaaaa.....
Then nimeona nisiandike tu hapa sababu naweza onekana kama mkatili.
Yaani ulizaa mtoto wa 1, 2, 3 na 4 ndipo unakuja kukumbuka kurudi shule...🤔
Anyways, pengine mimi nina fikiria kwa utofauti mkuu.......
Ok, ukisha pata mfadhi na ukaanza kwenda shule... watoto wako watakua wanahudumiwa na nani...??
Na...... hivi kweli unaona ni rahisi tu kuomba kusaidiwa na ukafanikiwa ilkhali tayari umezaa watoto 4 pasipo kuelezea kwanini ulifikia kuzaa watoto 4 kwanza ukitarajia nani atakusomesha baada ya kumaliza kuzaa...🙄
Acha roho ya kimasikini.elimu Haina mwisho.
 
Bila shaka wewe ni mkatili na unajitambua kuwa ni mkatili.

Kuzaa watoto wanne sio big issue kabisa. KUBWA ANAOMBA ASAIDIWE ATIMIZE NDOTO ZAKE.

"Kama hatutaweza kumsaidia basi tusimuumize kwa hali yake".
Hizi ndizo akili za mtu mweusi zinavyo furahia kuonekana mwema kumbe sivyo kabisa.
Kwangu mimi hainikai akilini kwamba mtu anaamua kuzaa 4 kids then anakuja kuomba msaada wa kusomeshwa mazee......
This is higher level of stupidity of blacks
 
miaka 27 watoto wa 4? Maendeleo hayana chama
Kwa umri huo kwakweli inafikirisha sana, binti anadhani maisha ni rahisi sana pengine.
Anyways......
Alafu hapo eti anaomba kusaidiwa elimu alafu hataki ahojiwe baba wa watoto yupo wapi ama ilikuaje amefanikiwa kupata kwanza watoto 4 at 27 then ndipo anakuja kukumbuka kusoma leo....🤔
 
Mimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level.

Ninatamani kujiendeleza kimasomo ila sina uwezo natamani nikaanze certficate in in bussiness managment.

Naomba anayejua wanaotoa ufadhili wa masomo tafadhali aniunganishe au anayeweza kunifadhili nikaanza certificate naomba msaada.

Asanteni.
4 kids na uko 27 yrs old?[emoji50] uko serious na hili bandiko lako au umekuja kufurahisha jukwaa mkuu? like how comes[emoji32]??

anyway nisiongee sana nikamkosea Mungu, but kusoma kupo yes, ila kwa situation yako jifanyie biashara za kukuingizia kipato kwanza uweze kumudu watoto na kuwapatia maisha bora first then ukiona uko sawa rudi shule, cas unaweza kusoma huku unafanya business zako (part time)

Omba wadau wakuchangie upate mtaji ufungue biashara kwanza, mengine yatajipanga yenyewe, sio hizi nonsense unahitaji hapa, think again[emoji34]
 
Hizi ndizo akili za mtu mweusi zinavyo furahia kuonekana mwema kumbe sivyo kabisa.
Kwangu mimi hainikai akilini kwamba mtu anaamua kuzaa 4 kids then anakuja kuomba msaada wa kusomeshwa mazee......
This is higher level of stupidity of blacks

Kwa umri huo kwakweli inafikirisha sana, binti anadhani maisha ni rahisi sana pengine.
Anyways......
Alafu hapo eti anaomba kusaidiwa elimu alafu hataki ahojiwe baba wa watoto yupo wapi ama ilikuaje amefanikiwa kupata kwanza watoto 4 at 27 then ndipo anakuja kukumbuka kusoma leo....🤔
You have already said this is the highest level of stupidity !Is that not enough?
 
Ada 1m ,chuo St joseph college morogoro,muda wa kozi mwaka mmoja
Hiki kitu unafanya kilifanywa na mama yangu mzazi way back 2004. Lakini kwa hali ya ajira ya sasa sidhani kama inawezekana kuona faida ya elimu kirahisi ushindani ni mkubwa na nafasi ni chache.

Na ni vigumu private sector kuajiri mwanamke mdogo mwenye watoto kuanzia wawili. Mabinti niliograduate nao chuo wakaolewa instantly wote hamna aliyepata ajira. Mtu kamaliza chuo kaolewa, kaenda honeymoon, kalea ndoa, kapata mimba, kajifungua, kalea uzazi. Mwaka na nusu umekata ndio kaanza kutafuta kazi mara siku ya interview mtoto kaamka anaharisha. Sasa wewe una watoto wanne.

Nikisema utafute mtaji ufanye biashara siko sahihi sana, biashara sio suluhisho la walioshindwa maisha. Ni passion na uwezo. Hata mama kabla hajaenda kusoma alianza na genge akashindwa akauza mazao akashindwa. Akaenda zake kusoma ndio akafanikiwa. Ila that time ajira zilikuwepo sio kama sasa.
 
You have already said this is the highest level of stupidity !Is that not enough?
Lea watoto. Haukuandikiwa barua ya maombi uwe na watoto wanne huku huna kazi. Umeulizwa baba watoto yuko wapi haujibu. Unadhani kuna mwendawazimu ataharibu pesa yake kukulipia chuo mama wa watoto wanne ambaye hataji alipo baba watoto wake? KAZI YAKO KWA SASA NI KULEA WATOTO NA SIO VINGINEVYO.
 
You have already said this is the highest level of stupidity !Is that not enough?
Not enough sweetheart, wewe ulisha jiumiza mwenyewe na leo maumivu haya ni matokeo ya kile ulicho kipanda.
Mkuu......
Hakuna mtu ataeweza kukusaidia hapa duniani pasipo kutaka kupata majibu ya maswali ambayo wewe hautaki kuyajibu.
 
Back
Top Bottom