Maombi ya kufadhiliwa masomo ya chuo

Maombi ya kufadhiliwa masomo ya chuo

Reni

Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
37
Reaction score
42
Mimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level.

Ninatamani kujiendeleza kimasomo ila sina uwezo natamani nikaanze certficate in in bussiness managment.

Naomba anayejua wanaotoa ufadhili wa masomo tafadhali aniunganishe au anayeweza kunifadhili nikaanza certificate naomba msaada.

Asanteni.
 
Tafuta kwanza chuo. Ujue gharama husika ndio urudi huku.
 
Kuna mambo nimejikuta nawazaaaaaa.....
Then nimeona nisiandike tu hapa sababu naweza onekana kama mkatili.
Yaani ulizaa mtoto wa 1, 2, 3 na 4 ndipo unakuja kukumbuka kurudi shule...🤔
Anyways, pengine mimi nina fikiria kwa utofauti mkuu.......
Ok, ukisha pata mfadhi na ukaanza kwenda shule... watoto wako watakua wanahudumiwa na nani...??
Na...... hivi kweli unaona ni rahisi tu kuomba kusaidiwa na ukafanikiwa ilkhali tayari umezaa watoto 4 pasipo kuelezea kwanini ulifikia kuzaa watoto 4 kwanza ukitarajia nani atakusomesha baada ya kumaliza kuzaa...🙄
 
W
Mimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level.

Ninatamani kujiendeleza kimasomo ila sina uwezo natamani nikaanze certficate in in bussiness managment.

Naomba anayejua wanaotoa ufadhili wa masomo tafadhali aniunganishe au anayeweza kunifadhili nikaanza certificate naomba msaada.

Baba? Mama? Family history yako maana ujue ufadhili una criteria zake nyingi labda kama ajitokeze mtu binafsi ila sikukatishi tamaa ongezea kidogo maelezo yako siunajua ili mtu aguswe lazima kuwe na maelezo yaliyoshiba
 
Kuna mambo nimejikuta nawazaaaaaa.....
Then nimeona nisiandike tu hapa sababu naweza onekana kama mkatili.
Yaani ulizaa mtoto wa 1, 2, 3 na 4 ndipo unakuja kukumbuka kurudi shule...🤔
Anyways, pengine mimi nina fikiria kwa utofauti mkuu.......
Ok, ukisha pata mfadhi na ukaanza kwenda shule... watoto wako watakua wanahudumiwa na nani...??
Na...... hivi kweli unaona ni rahisi tu kuomba kusaidiwa na ukafanikiwa ilkhali tayari umezaa watoto 4 pasipo kuelezea kwanini ulifikia kuzaa watoto 4 kwanza ukitarajia nani atakusomesha baada ya kumaliza kuzaa...🙄
🤣🤣🤣🤣 sitaki dhambi.
 
Bila shaka wewe ni mkatili na unajitambua kuwa ni mkatili.

Kuzaa watoto wanne sio big issue kabisa. KUBWA ANAOMBA ASAIDIWE ATIMIZE NDOTO ZAKE.

"Kama hatutaweza kumsaidia basi tusimuumize kwa hali yake".
 
Mimi nina umri wa miaka 27 ,ni mama wa watoto 4 ,nilifika mpaka kidato cha 5 ila sikufanikiwa kumaliza A level.

Ninatamani kujiendeleza kimasomo ila sina uwezo natamani nikaanze certficate in in bussiness managment.

Naomba anayejua wanaotoa ufadhili wa masomo tafadhali aniunganishe au anayeweza kunifadhili nikaanza certificate naomba msaada.

Asanteni.
miaka 27 watoto wa 4? Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom