Maombi ya kufadhiliwa masomo ya chuo

Ok
 
Reni Unaomba msaada wa tuition fee peke yake au na mahitaji. Umesema ada ni 1m, hii ni kwa kulipa chuo nadhani na nawaza una sehemu ya kukaa na mahitaji mengine isipokuwa msaada utakao ni ada right?
 
ni kweli, soko la ajira ni gumu sana wakati huu, wenye degree tu na masters huku wanasota , ije kua certficate? tena ya business?? unapoteza muda tu mkuu stop this, hata sjui nikusharije uelewe but stop this , itakupotezea muda tu uje kufa kwa stress badae huko
 
Not enough sweetheart, wewe ulisha jiumiza mwenyewe na leo maumivu haya ni matokeo ya kile ulicho kipanda.
Mkuu......
Hakuna mtu ataeweza kukusaidia hapa duniani pasipo kutaka kupata majibu ya maswali ambayo wewe hautaki kuyajibu.
🀣 me nimekuelewa sana mkuu sema wabongo wanakwaida ya kupingana na ukweli ila uliyosema yote ni kweli na upo sahih sana
 

Attachments

  • JamiiForums1496266782.jpeg
    31.8 KB · Views: 3
umeandika mama wa watoto 4 na unaumri wa miaka 27 au 77 nisaidie sioni vizuri........ ila nikupe pole sana aseee jitahidi uliwe na wenye pesa utakufa maskini na vipanya hivyo
 
Wachangiaji wengi humu mna matatizo...yaani badala msaidie namna atakavyofanya eti mnajitia kushangaa watoto?
Bila kujali wengine hupitia changamoto mbalimbali za kimaisha na kimazingira.
Comments nyingi za JF huongeza msongo WA mawazo na hata MTU anaweza kujitoa uhai kuliko kupata uponyaji WA kinachomsibu.

So heart breaking.
 
Watoto wanne kwa miaka 27.

Asee kuna madem sio wachoyo wa mbunye kabisa.... Na hao watoto naamin sio wa baba mmoja πŸ˜ƒ

Kuna chuo hapa ningekuunganisha ukasome kwa scholarship na ulipie 100k (laki moja) kwa mwaka. Na kingine ungelipa 500k kwa mwaka ila hao watoto nan atawalea??

Kama ukiweka wazi Baba wa hao watoto wako wapi basi naahidi kukusaidia upate scholarship ambayo utachangia 100k TU kwa mwaka.

Uamuzi ni wako
 
Watoto wa baba mmoja, baba wa watoto ana maisha yake tulitengana ,naweza kulea watoto na mahitaji binafsi ila nahitaji sapoti ya ada tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi siez poteza ada yangu kwa huyo Mama ye anataka kusoma afu watoto wake wanasomeshwa na Nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…