Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengi wanaogopa lawama, wataonekana wana roho mbaya...🤣Natamani nicomment ila sasa
Inshallah kwa kweliWatoto wa4 27 eeh umetisha mdogo wangu..
Allah atakufanyia wepesi inshallhah
Tuanzie hapa kwanzaBaba watoto Yuko wapi (Kwa faida ya wasomaji)
AssnteKwa ulimwengu wa sasa wafadhili ni vigumu kupatikana; kwa sababu ata huko kwenye nyumba za ibada watu wamekuwa wabahili ata kwenye kutoa sadaka.
Jiulize swali; mfadhili anatoa pesa alafu yeye ananufaika na nini?
Ushauri:- Jiajiri kwenye mauzo, kutafutia kampuni, watu wenye biashara n.k wateja wa kununua bidhaa zao ili upate gawio uweze kusonga mbele, kupitia kwenye hiyo kazi wapo ambao utawafanyia kazi vizuri na watatamani wakuendeleze ili wakuajiri, ikiwa ni pamoja na wewe kutimiza ndoto zako.
yes but tuache kuishi kwa kuhisi inawezekana just from no where, tuishi in realities na sio kutegemea muujiza, miujiza ipo ndio lakini huja wakati huna hata wazo unashangaa tu imekuaje, but hii ya ku expect muujiza wakati unajua reality ila unaenda tu hata Mungu anakukataa na kukuona mpumbavuHatutakiwi kukatishana tamaa.lolote linawezekana
Pole sana kwani naona watu wanakushambulia. Hajui mazingira uliyopitia na ni nini hasa kilitokea. Ushauri wangu: Una uhakika ukisoma hiyo kozi utapata kazi? Nauliza hivi kwa sababu mtaani kuna vyuo vingi sana vinavyoa kozi ambazo hazieleweki. Pia business mngmt ni ngumu sana kupata kazi kwani ajira zenyewe hakuna na wanaosoma kozi za aina hii ni wengi.Watoto wa baba mmoja, baba wa watoto ana maisha yake tulitengana ,naweza kulea watoto na mahitaji binafsi ila nahitaji sapoti ya ada tu
NidhakhamaWatu wengi wanaogopa lawama, wataonekana wana roho mbaya...🤣
mulemule tu mkuuKuna mambo nimejikuta nawazaaaaaa.....
Then nimeona nisiandike tu hapa sababu naweza onekana kama mkatili.
Yaani ulizaa mtoto wa 1, 2, 3 na 4 ndipo unakuja kukumbuka kurudi shule...🤔
Anyways, pengine mimi nina fikiria kwa utofauti mkuu.......
Ok, ukisha pata mfadhi na ukaanza kwenda shule... watoto wako watakua wanahudumiwa na nani...??
Na...... hivi kweli unaona ni rahisi tu kuomba kusaidiwa na ukafanikiwa ilkhali tayari umezaa watoto 4 pasipo kuelezea kwanini ulifikia kuzaa watoto 4 kwanza ukitarajia nani atakusomesha baada ya kumaliza kuzaa...🙄
Sas mkuu huoni tofauti iliyopo ya elimu ya chuo na msingi ?Watoto wako atawasomesha nani? Kama wewe unaomba msaada wa kusomeshwa.
Miaka 27 watoto wa4 .. Achana na hiyo League Somesha tu watoto wako mama.
Sio muujiza mkuu imagine koz ni mwaka mmoja kwa maana hiyo atakua na umri wa miaka 28 hadi 28.kuhusu ajira hilo ni juu yake kwa maana hata unavyolalamika hakuna hajira, kila siku watu wanaajiriwa ,watu wanalalamika hali ngumu ya maisha lakini kila siku bar zinajaa,hali ngumu lakini kwenye list ya waliostake kwenye aviator wapo hadi waliostake 500000yes but tuache kuishi kwa kuhisi inawezekana just from no where, tuishi in realities na sio kutegemea muujiza, miujiza ipo ndio lakini huja wakati huna hata wazo unashangaa tu imekuaje, but hii ya ku expect muujiza wakati unajua reality ila unaenda tu hata Mungu anakukataa na kukuona mpumbavu