Maombi ya kujivua uanachama CHAPUTA

Maombi ya kujivua uanachama CHAPUTA

Ndugu mwenyekiti wa chama cha punyeto Tanzania [CHAPUTA], Makamu mwenyekiti CHAPUTA, Katibu mkuu CHAPUTA, Viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CHAPUTA, Mimi Shadow7 nikiwa na akili zangu timamu leo nimenuia kujivua uanachama wa CHAPUTA.

Dhumuni la kujivua uanachama ni kwamba nimepata mwenzi atayenikidhi kwenye haja zangu, Nashukuru kwa kua nanyi
miaka mitano mfululizo. Nilikua mwanachama mwema kabisa ila nimeona niwaachie vijana waendeleze chama chetu.

Natumai maombi yamefika.

Wenu katika chama,
Shadow7 [Mwanachama]

Jiandae kupimwa corona mpya [emoji28]
 
Usirudie Kufananisha Nyeto na ujinga wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi msemaji wa Chaputa taifa uongozi umekataa ombi lako la kujitoa
Msemaji mkuu taifa huyu hapa chini

👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Tumepokea barua yako
Nikiwa msemaji wa chama nikutakie safari njema huko uendako

Rai kwa wanachaputa
Mi nipende kuwahusia tuepushe kuwa na tabia za kimalaya kwenye siasa kama unabaki unabaki kweli kwenye chama sio unaondoka halafu unarudi tena ni hayo tu

Asanteni

Chaputa makao makuu

Chattle ,Geita Tz
 
Tumepokea barua hii kwa masikitiko makubwa japo ili kuonesha ukomavu wa kisiasa, tunakuruhusu utapeleka kadi ya uanachama kwa katibu mkuu mwenezi wa Chama ndugu Hamfredi Fastafasta.

Mwenyekiti,
Geita, Chattle.
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom