Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Ndugu mwenyekiti wa chama cha punyeto Tanzania [CHAPUTA], Makamu mwenyekiti CHAPUTA, Katibu mkuu CHAPUTA, Viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CHAPUTA, Mimi Shadow7 nikiwa na akili zangu timamu leo nimenuia kujivua uanachama wa CHAPUTA.
Dhumuni la kujivua uanachama ni kwamba nimepata mwenzi atayenikidhi kwenye haja zangu, Nashukuru kwa kua nanyi
miaka mitano mfululizo. Nilikua mwanachama mwema kabisa ila nimeona niwaachie vijana waendeleze chama chetu.
Natumai maombi yamefika.
Wenu katika chama,
Shadow7 [Mwanachama]
Jiandae kupimwa corona mpya [emoji28]