Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Ndugu mwenyekiti wa chama cha punyeto Tanzania [CHAPUTA], Makamu mwenyekiti CHAPUTA, Katibu mkuu CHAPUTA, Viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CHAPUTA, Mimi Shadow7 nikiwa na akili zangu timamu leo nimenuia kujivua uanachama wa CHAPUTA.
Dhumuni la kujivua uanachama ni kwamba nimepata mwenzi atayenikidhi kwenye haja zangu, Nashukuru kwa kua nanyi
miaka mitano mfululizo. Nilikua mwanachama mwema kabisa ila nimeona niwaachie vijana waendeleze chama chetu.
Natumai maombi yamefika.
Wenu katika chama,
Shadow7 [Mwanachama]
Jilipue kupiga kimoja cha majaribio baada ya hapo utakuwa mwanachama halaliNaombeni kadi jamani na mi mwanachama pia
Usirudie Kufananisha Nyeto na ujinga wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu mwenyekiti wa chama cha punyeto Tanzania [CHAPUTA], Makamu mwenyekiti CHAPUTA, Katibu mkuu CHAPUTA, Viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CHAPUTA, Mimi Shadow7 nikiwa na akili zangu timamu leo nimenuia kujivua uanachama wa CHAPUTA.
Dhumuni la kujivua uanachama ni kwamba nimepata mwenzi atayenikidhi kwenye haja zangu, Nashukuru kwa kua nanyi
miaka mitano mfululizo. Nilikua mwanachama mwema kabisa ila nimeona niwaachie vijana waendeleze chama chetu.
Natumai maombi yamefika.
Wenu katika chama,
Shadow7 [Mwanachama]
Msemaji mkuu taifa huyu hapa chiniMimi msemaji wa Chaputa taifa uongozi umekataa ombi lako la kujitoa
Tumepokea barua yako
Nikiwa msemaji wa chama nikutakie safari njema huko uendako
Rai kwa wanachaputa
Mi nipende kuwahusia tuepushe kuwa na tabia za kimalaya kwenye siasa kama unabaki unabaki kweli kwenye chama sio unaondoka halafu unarudi tena ni hayo tu
Asanteni
Chaputa makao makuu
Chattle ,Geita Tz
ππππππππππTumepokea barua hii kwa masikitiko makubwa japo ili kuonesha ukomavu wa kisiasa, tunakuruhusu utapeleka kadi ya uanachama kwa katibu mkuu mwenezi wa Chama ndugu Hamfredi Fastafasta.
Mwenyekiti,
Geita, Chattle.
Nataka kujua kwanini hafuti majina ya watu waliojitoa chamani?Kwa sasa ni nauli yako tu mpaka CHATTLE
Hayafuti coz baada ya mda Raia Hurudi kurenew mkataba [emoji28][emoji28][emoji28]Nataka kujua kwanini hafuti majina ya watu waliojitoa chamani?