Maombi ya kujivua uanachama CHAPUTA

Inabidi Makao makuu Chattle mtoe sheria ngumu kidogo Nyeto haipewI heshima inayostahili ndio maana watu wanaingia na kutoka wanavyojisikia. Hivyo ombi langu tuwe na sheria kama za ndoa ukijitoa unagawana mali nusu kwa nusu na makao makuu. Huu ni upumbavu unaopaswa kukemewa.

Nyeto Iheshimiwe
 

[emoji23][emoji23]
 
Tunapendana tunafurahi, tukikutana tunajidai

Tuna vicheko, nikiwa na wanangu gheto tunafanya mpaka......
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Mwenyekiti wetu wa CHAPUTA Ezekiel Mbaga
Njoo umjibu mjumbe
 
Ni huzuni Sana kwa chama kupoteza mwanachama mtiifu na mweledi kama wewe Mr Shadow7 lkn katika hili haliwez kuzui chama kuendelea kuwa imara


Mm kama mshauri wa chama cha CHAPUTA mr morg . Nakushauri Mr shadow umetoka chama lkn usikikejeli chma wala kukivunjia heshima yake umekuwa mtiifu kwa miaka mitano tumekulinda .Sisi kama wana chama watiifu tunaimani utarudi chama ww umetanga kujiuzulu kwa mda usio fahamika na kadi yako hujarudisha kila la kheri lkn mambo yakikushinda karibu chamani
 
😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 πŸ™
 
Yan kwamba makao makuu ya hiyo sijui CHAPUTA ni mkoani geita,chato.kha sasa ni kodi kiasi gani mnaingizia serikali ya maskini.
 
Je uo mwenzio uliempata. Kweli utaweza kumridhisha? Ukiwa nwanachama hai wa CHAPUTA wengi wenyu wabakabiliwa na matatizo ya kuwahi mapema. Hata hivyo usihofu Dawa ninazo....
 
Kadi Yako Imepokelewa Na Tumeitunza Kwa Records Zingine.

Ulikuwa Mwanachama Bora Na Kama Ilivyokuwa Desturi Ya Chama Chetu.

Utafika Makao Makuu Kupokea Mafao Yako Ya Miaka Mitano.

Tunakutakia Kila Kheri.

Mwenyekiti Wa Mapato CHAPUTA Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…