Maombi ya kuongeza viwango vya alcohol kwa TBL na SBL

Maombi ya kuongeza viwango vya alcohol kwa TBL na SBL

Papaa007

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,103
Reaction score
1,737
Kiwango cha alcohol katika beer ni kidogo sana aisee yan 5% aisee hapana hii sio fair kabsa naomba pendekezo langu beer iwe angalau 15%-25% kulingana na kiwango cha hela 1500..... Ni nyingi sana.

Natumai maombi yangu yatashugulikiwa
 
Spirytus Rektyfikowany Rectified Spirit (95%).Agiza mzigo huo uwe unapiga megamix bia.

FYI: Kila kundi la kilevi lina range maalumu ya alcohol.
Beer
Wine
Spirits
AFB
Jaribu kugoogle kidogo.

vodka_spi2.jpg
 
Kiwango cha alcohol katika beer ni kidogo sana aisee yan 5% aisee hapana hii sio fair kabsa naomba pendekezo langu beer iwe angalau 15%-25% kulingana na kiwango cha hela 1500..... Ni nyingi sana.

Natumai maombi yangu yatashugulikiwa
Badilïsha kinywaji kama hukiwezi kunywa chenye alcohol kubwa wengine hiyo 5 tuu akinywa anaamsha kichaa
 
Nenda kanywe Mix Strong kama unataka ma'alcohol mengi kila mtu na kiwango chake ndio mana ata hao SBL wana Serengeti lite pia wana Pilsner King wacha tunywe kutokana na viwango vyetu
 
Kiwango cha alcohol katika beer ni kidogo sana aisee yan 5% aisee hapana hii sio fair kabsa naomba pendekezo langu beer iwe angalau 15%-25% kulingana na kiwango cha hela 1500..... Ni nyingi sana.

Natumai maombi yangu yatashugulikiwa
Mkuu ni kweli kabisa buku jero ni kubwa sana...
Mi nishawai wapiga ofa watu ya dumu la ulanzi kijijini huko wa 3500 wanasimuliana huko mpaka kesho kwamba hawata nisahau niliwapigisha pombe mpaka basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom