Watu wengi huwa hawaelewi ile alcohol iliyopo katika kinywaji husika. Hiyo beer ya 5% alcohol unanunua 1500 umesema. Ile chupa kubwa ya wine labda mfano alcohol 25% utanunua Tsh.50,000,kwa hiyo alcohol iliyo pamoja yaani 25%. Kwa namna hiyo ichukue hiyo 50,000 igawe kwa 1500 ili ujue utapata beer ngapi kwa hiyo elfu 50. Hapo unaweza kupata beer 33. Sasa basi hizo beer 33 mara 5% alcohol,jumla hapo kwa hiyo elfu 50 uliyoitumia kununua wine ya 25% alcohol,kwenye beer utakuwa umenunua alcohol 165%. Na pima sasa kwenye ulevi wake. Je utakuwa salama kubugia alcohol hizo zote. Unachotakiwa ujue ukinywa beer 1 ni 5% alcohol,ya pili utakuwa na 10% alcohol mwilini ++++alcohol
Sent using
Jamii Forums mobile app