Maombi ya kuongeza viwango vya alcohol kwa TBL na SBL

Bora warudishe ile bia inaitwa bingwa aise ilikuwa bingwa kweli kweli ,ila kwa sasa bia ...nyingi kwa sasa ni juice ......ndio maana K.VANT IMEPOKELEWA VIXURI SANA .. bia nyingine ni alcoh ya 5 but ukiipeleka maabara ni 3

sent from toyota Allex
 
Mkuu ni kweli kabisa buku jero ni kubwa sana...
Mi nishawai wapiga ofa watu ya dumu la ulanzi kijijini huko wa 3500 wanasimuliana huko mpaka kesho kwamba hawata nisahau niliwapigisha pombe mpaka basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hchi ndo nachojaribu kuwaambia watu kuwa 1500 ni nyng kwa 5% sasa mtu unakunywa pombe ili iweje si ili ulewe
 
Kiwango cha alcohol katika beer ni kidogo sana aisee yan 5% aisee hapana hii sio fair kabsa naomba pendekezo langu beer iwe angalau 15%-25% kulingana na kiwango cha hela 1500..... Ni nyingi sana.

Natumai maombi yangu yatashugulikiwa

Si uende ukanywe gongo tu, ya nini kupoteza sh1500/= kwa 5% alcohol, wakati unaweza kutumia sh 500/= kwa gongo ukalewa na chenji ikabaki. ---Ilani pombe ni haramu na inaua.
 
Kwahyo unanishauri niwe mnywa gongo?
 
Watu wengi huwa hawaelewi ile alcohol iliyopo katika kinywaji husika. Hiyo beer ya 5% alcohol unanunua 1500 umesema. Ile chupa kubwa ya wine labda mfano alcohol 25% utanunua Tsh.50,000,kwa hiyo alcohol iliyo pamoja yaani 25%. Kwa namna hiyo ichukue hiyo 50,000 igawe kwa 1500 ili ujue utapata beer ngapi kwa hiyo elfu 50. Hapo unaweza kupata beer 33. Sasa basi hizo beer 33 mara 5% alcohol,jumla hapo kwa hiyo elfu 50 uliyoitumia kununua wine ya 25% alcohol,kwenye beer utakuwa umenunua alcohol 165%. Na pima sasa kwenye ulevi wake. Je utakuwa salama kubugia alcohol hizo zote. Unachotakiwa ujue ukinywa beer 1 ni 5% alcohol,ya pili utakuwa na 10% alcohol mwilini ++++alcohol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamia huku 8% na kuendelea.
IMG_20191012_152011.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wine ni 12% to 14% hakuna 25%

Back
Top Bottom