kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Hchi ndo nachojaribu kuwaambia watu kuwa 1500 ni nyng kwa 5% sasa mtu unakunywa pombe ili iweje si ili uleweMkuu ni kweli kabisa buku jero ni kubwa sana...
Mi nishawai wapiga ofa watu ya dumu la ulanzi kijijini huko wa 3500 wanasimuliana huko mpaka kesho kwamba hawata nisahau niliwapigisha pombe mpaka basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuma
Wewe utakuwa mdau wa Ze kick!Mi naona ni kuchezea hela tu
Itafute.. Ipo madukani.. Ina alcohol ya 43%[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ze kick ndo nin tena
Kiwango cha alcohol katika beer ni kidogo sana aisee yan 5% aisee hapana hii sio fair kabsa naomba pendekezo langu beer iwe angalau 15%-25% kulingana na kiwango cha hela 1500..... Ni nyingi sana.
Natumai maombi yangu yatashugulikiwa
Labda ya huko mtaani kwenu!
Kwahyo unanishauri niwe mnywa gongo?
Kula ile ya 8.6 kile ni chuma
Jr[emoji769]
Watu wengi huwa hawaelewi ile alcohol iliyopo katika kinywaji husika. Hiyo beer ya 5% alcohol unanunua 1500 umesema. Ile chupa kubwa ya wine labda mfano alcohol 25% utanunua Tsh.50,000,kwa hiyo alcohol iliyo pamoja yaani 25%. Kwa namna hiyo ichukue hiyo 50,000 igawe kwa 1500 ili ujue utapata beer ngapi kwa hiyo elfu 50. Hapo unaweza kupata beer 33. Sasa basi hizo beer 33 mara 5% alcohol,jumla hapo kwa hiyo elfu 50 uliyoitumia kununua wine ya 25% alcohol,kwenye beer utakuwa umenunua alcohol 165%. Na pima sasa kwenye ulevi wake. Je utakuwa salama kubugia alcohol hizo zote. Unachotakiwa ujue ukinywa beer 1 ni 5% alcohol,ya pili utakuwa na 10% alcohol mwilini ++++alcohol
Sent using Jamii Forums mobile app