Duuuh hyo spirit 95% percent itakua imeua wengi sanaSpirytus Rektyfikowany Rectified Spirit (95%).Agiza mzigo huo uwe unapiga megamix bia.
FYI: Kila kundi la kilevi lina range maalumu ya alcohol.
Beer
Wine
Spirits
AFB
Jaribu kugoogle kidogo.
View attachment 1372367
Hahaha hapana watu watakufaa... nakumbuka bia bingwa ilikua na alcohol kubwa watu walipata sana shida...Kwani mtumishi Hazard CFC anasemaje kuhusu hili??
Mi napenda sana nikiwa nakula maji,,,,nipate stimu,,,,,sio mtu unaenda kula vyombo unatakatisha fedha lkn cha ajabu unarudi unakua na uwezo hata wa kukimbia!
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Hujaona huo mzigo wamekuonyesha una 95%. 2. Soma vizuri tred yangu. Huo ni mfano nimeandika. Kama ni 12,bado hali ni hiyo hiyo,badirisha tu kwenye 25. Kwisha kazi
Konyagi na Kvant hazikutoshi?Kiwango cha alcohol katika beer ni kidogo sana aisee yan 5% aisee hapana hii sio fair kabsa naomba pendekezo langu beer iwe angalau 15%-25% kulingana na kiwango cha hela 1500..... Ni nyingi sana.
Natumai maombi yangu yatashugulikiwa
Ndo maana mimi nimehamia kwa desperado rasmi...! Maana ht k vant nayo sio kbs!..karibuni desperado😊!
kvant ndo napenda ila mi simnywaji sana
natumia bangi mwaka wa 20 huu yaani I mean tangia ujana na sijawahi juta na enjoy sana
Unatakiwa uchore zigzag njianMi napenda sana nikiwa nakula maji,,,,nipate stimu,,,,,sio mtu unaenda kula vyombo unatakatisha fedha lkn cha ajabu unarudi unakua na uwezo hata wa kukimbia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi kati pia tumemzika kijana huku Msakuzi, walishindana na mwenzie kunywa vile vichupa vya konyagi vidogo, ilikuwa kila mmoja anywe vitano vikavu, jamaa alipofika kichupa cha 4 akapiga magoti akaanza kutapika damu na kuharisha kumpeleka Sinza Palestina keshakata moto kitambo,
Sent using Jamii Forums mobile app