Maombi ya Mbowe kwa Rais Samia yalikuwa geresha. Ukweli anaujua kuhusu Halima Mdee na wenzake 18

CHADEMA kwa sasa wapinzani wenu ni bodaboda. Mwenyekiti wenu ni mtiifu sana kwa mwenyekiti wetu. Mpambane sana maana bodaboda wanawazidi hoja.
labda wale bodaboda wa mchongo kutoka uvccm ambao ni wapumbavu na chadema haiwahitaji.
 
Kwa sura alizoziona pale zinastahili kugombea ubunge na udiwani,tena hata huko amesema ''labda''
kwamba aliposema hivyo ukajifarij ndio maana nyie uvcvm na sukuma gang huwa nawambia ni wapumbavu kwa akili zenu za kijinga subirin 2025 ndio mtaelewa vizuri
 
Kwa akili yako kuwa na viatu ndio indicator kuwa wewe ni Dr.
Kama hujui watafte wale malaya 19 uwaulize kuhusu DR(PhD) LWAITAMA alivyowanyonga jana kule mahakaman na mawakili wao had wakaanza kutaftana.
Umeuliza kuwa anamaajabu gani swali hilo utakutana na jibu lake kwenye hukumu ya Jaji Mkeha itakapotoka.
Hebu tusaidie. Ni kweli kwamba mmoja wa Covi 19 ni Mke wa Naibu Katibu Mkuu Bara?
 
Mh Mbowe alishupaza sauti kwa kujifanya yupo siriasi kwa kuwaonyesha wafuasi wake watiifu kuwa anayasema maneno yale mbele ya raisi ana uchungu mwingi ilihali anajua jambo lile lina baraka zao na wale wapo pale mpaka wamalize muda wao,

Kutaka kucheza na akili zao na kweli amefanikiwa kwa lengo lake wengi wao wameamini Mbowe hataki covid19 wawepo pale wakati yeye na baadhi ya viongozi ni wanufaika wa wale wanawake kuwepo bungeni.

Lissu hakukosea aliposema mwenyekiti amelamba asali,jibu limepatikana Mbowe hana lawama tena amejivua kiakili kwa kuonyesha kuwa ahusiki ila kwa kuwa anaongoza waliolala milele wamebaki kushangalia hutuba yake ya kimkakati.

Kiufupi Halima's mdee and gangs wameshinda vita kiurahisi na leo hii wanawasiliana na mwenyekiti kupongezana,

Wenye uchungu nendeni mkaiombe mahakama!
Naungana na lissu mwenyekiti kalamba buyu la asali!
Shusha pumzi na fuatialia kinachoendelea mahakani wiki hii vinginevyo utaonyesha hadharani utimamu ulio na shaka wa ufahamu wako.
 
kwamba aliposema hivyo ukajifarij ndio maana nyie uvcvm na sukuma gang huwa nawambia ni wapumbavu kwa akili zenu za kijinga subirin 2025 ndio mtaelewa vizuri
We kibavicha,kila uchaguzi tunawanyuka halafu unasema hatuna akili kweli!!!??2025 tukasimamisha wagombea uraisi wawili,mkatuangalia tu!
 
Mbowe yupo kimkati na kujaza tumbo lake!
Kweny hili niliomba san humu tupewe angalau ushahid jins anavyojaza tumbo lake wakati enz za giza awamu ya tano mlimuharibia mali zake, inaonyesha waz jinsi mlivyo na roho za kimasikini!!
 
Subiri tukuletee!
 
Mh Mbowe alishupaza sauti kwa kujifanya yupo siriasi kwa kuwaonyesha wafuasi wake watiifu kuwa anayasema maneno yale mbele ya raisi ana uchungu mwingi ilihali anajua jambo lile lina baraka zao na wale wapo pale mpaka wamalize muda wao,

Kutaka kucheza na akili zao na kweli amefanikiwa kwa lengo lake wengi wao wameamini Mbowe hataki covid19 wawepo pale wakati yeye na baadhi ya viongozi ni wanufaika wa wale wanawake kuwepo bungeni.

Lissu hakukosea aliposema mwenyekiti amelamba asali,jibu limepatikana Mbowe hana lawama tena amejivua kiakili kwa kuonyesha kuwa ahusiki ila kwa kuwa anaongoza waliolala milele wamebaki kushangalia hutuba yake ya kimkakati.

Kiufupi Halima Mdee and gangs wameshinda vita kiurahisi na leo hii wanawasiliana na mwenyekiti kupongezana,

Wenye uchungu nendeni mkaiombe mahakama!
Naungana na lissu mwenyekiti kalamba buyu la asali!
Wenye darubini kali tulishasema hatusubiri lema arudie!
 
Back
Top Bottom