domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,548
- 1,729
🤣🤣🤣🤣🤣 sasa utakuwa umeanza kuelewa kidogo kuwa kuna watu wamewatangulia wengine ufahamu. Yaani kuna watu hawajui na hawajui kama hawajui. Kula chuma hicho..Ndio maana wapumbavu wa uvccm na sukuma gang humu jf huwa nawambia waende shule hawataki wamekalia bukusaba na kuvizia teuz huku wengine wakizeeka kijingajinga tu matokeo yake wanakuwa na mawakili uchwara kama wao na hio hukumu itawagonga kwelikweli.