Maombi ya Mbowe kwa Rais Samia yalikuwa geresha. Ukweli anaujua kuhusu Halima Mdee na wenzake 18

CHADEMA kwa sasa wapinzani wenu ni bodaboda. Mwenyekiti wenu ni mtiifu sana kwa mwenyekiti wetu. Mpambane sana maana bodaboda wanawazidi hoja.
labda wale bodaboda wa mchongo kutoka uvccm ambao ni wapumbavu na chadema haiwahitaji.
 
Kwa sura alizoziona pale zinastahili kugombea ubunge na udiwani,tena hata huko amesema ''labda''
kwamba aliposema hivyo ukajifarij ndio maana nyie uvcvm na sukuma gang huwa nawambia ni wapumbavu kwa akili zenu za kijinga subirin 2025 ndio mtaelewa vizuri
 
Hebu tusaidie. Ni kweli kwamba mmoja wa Covi 19 ni Mke wa Naibu Katibu Mkuu Bara?
 
Shusha pumzi na fuatialia kinachoendelea mahakani wiki hii vinginevyo utaonyesha hadharani utimamu ulio na shaka wa ufahamu wako.
 
kwamba aliposema hivyo ukajifarij ndio maana nyie uvcvm na sukuma gang huwa nawambia ni wapumbavu kwa akili zenu za kijinga subirin 2025 ndio mtaelewa vizuri
We kibavicha,kila uchaguzi tunawanyuka halafu unasema hatuna akili kweli!!!??2025 tukasimamisha wagombea uraisi wawili,mkatuangalia tu!
 
Mbowe yupo kimkati na kujaza tumbo lake!
Kweny hili niliomba san humu tupewe angalau ushahid jins anavyojaza tumbo lake wakati enz za giza awamu ya tano mlimuharibia mali zake, inaonyesha waz jinsi mlivyo na roho za kimasikini!!
 
Kweny hili niliomba san humu tupewe angalau ushahid jins anavyojaza tumbo lake wakati enz za giza awamu ya tano mlimuharibia mali zake, inaonyesha waz jinsi mlivyo na roho za kimasikini!!
Subiri tukuletee!
 
Wenye darubini kali tulishasema hatusubiri lema arudie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…