Ndio maana wapumbavu wa uvccm na sukuma gang humu jf huwa nawambia waende shule hawataki wamekalia bukusaba na kuvizia teuz huku wengine wakizeeka kijingajinga tu matokeo yake wanakuwa na mawakili uchwara kama wao na hio hukumu itawagonga kwelikweli.