kiibinda
Member
- Feb 11, 2024
- 8
- 7
Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details.
Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa.
Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji wenyewe wa serikali za mitaa hususan kwetu hawajui hata cha kufanya, yaani ukienda kuwaambia nimefuata barua ya utambulisho, wenyewe wageni hawajui chochote.