KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kiibinda

Member
Joined
Feb 11, 2024
Posts
8
Reaction score
7
Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details.

Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa.

Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji wenyewe wa serikali za mitaa hususan kwetu hawajui hata cha kufanya, yaani ukienda kuwaambia nimefuata barua ya utambulisho, wenyewe wageni hawajui chochote.
 
kuna kitu kinaitwa Napa (national physical adress), hakuna mtendaji wa kijiji,mtaa anakijua. shida tupu, shida tupu...ujinga mtupu blood bastard!
 
Niliwasilisha hii changamoto ya mifumo WA kuomba mkopo wa HESLB sijajua kama mshasaidia kutupazia saut na muda ndo unayoyoma hvyo kila siku tunatukia bando kuingia
 
Kwani namba hiyo si unaipata mwenyewe mtandaoni
 
Kwa ulimwengu huu wa technology nadhani wangeseti mfumo wao katika namna ambayo mtu atafanya na kumaliza applications kwenye simu yake without physical meetings
 
Niliwasilisha hii changamoto ya mifumo WA kuomba mkopo wa HESLB sijajua kama mshasaidia kutupazia saut na muda ndo unayoyoma hvyo kila siku tunatukia bando kuingia
Kaka Samahan kwenye kuomba mkopo namba ya NIDA unaandika kwa mfumo wa Dash(-) au unaunganisha moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…