Tetesi: Maombi ya Mnyika kujiunga CCM yakwamishwa na kauli yake ya kuudhi dhidi ya mstaafu Kikwete aliyoitoa bungeni

Tetesi: Maombi ya Mnyika kujiunga CCM yakwamishwa na kauli yake ya kuudhi dhidi ya mstaafu Kikwete aliyoitoa bungeni

Inasemekana kuwa barua ya maombi ya kujiunga na CCM ya mbunge wa kiibamba JJ Mnyika wa chadema imekwamishwa na Wanene wa CCM. Sababu kuu ni kauli ya dharau na kuudhi aliyoitoa Mnyika katika bunge la Makinda iliyomlenga Rais wa awamu ya 4 aliyekuwa pia Mwenyekiti wa CCM taifa. Inadaiwa ama Mnyika amuombe JK msamaha hadharani au amwandikie KM wa CCM barua nyingine ya kuomba radhi na copy aipeleke kwa mstaafu JK. Nimejulishwa na mwana Ufipa mmoja juu ya kadhia hii, binafsi naomba niishie hapo!
Wenzio wameambiwa wajenge viwanda vya uzalishaji, wewe umeamua kujenga kiwanda cha kutengeneza urongo na fitna. Nyie ndo mnaomkwamisha mweshimiwa
 
Wenzio wameambiwa wajenge viwanda vya uzalishaji, wewe umeamua kujenga kiwanda cha kutengeneza urongo na fitna. Nyie ndo mnaomkwamisha mweshimiwa
Usihukumu kabla ya kumsikia JJ Mnyika maana tunaye hapa jamvini!
 
Wapo wapiga viroba watabisha; Leo kuna pahala nichangia kuwa, Hata leo Lema, Heche, Nasar na Sugu watangaze kuingia CCM hawawezi kubaliwa ng'oo, wasubiri kiama yao 2020.

Fanya Yote ila nidhamu ya kinywa n muhimu.
Ujinga mtupu!
 
😡😡😡😡😡😡😛😛😛😛😛😛😛😛 hahahaaaa nimecheka kwa sauti mpaka nimeachia usukani wa gari nikasahau niko barabarani
Tuelimishe ni jinsi gani unaandika na kusoma chats za JF ukiwa umeshikilia usukani barabarani..wewe na huyo mwenzako
 
Propaganda za kitoto hizo ,nani wa kumkataa mnyika?? Hata amtukane Magufuli Alafu aombe kujiunga CCM tutamchukua, ni kijana pekee smart ndani ya CHADEMA
 
Hahahaa...... Ufipa ina Mwenyekiti tu na yule kiongozi wa Bawacha...........hivyo vingine ni vyeo maandazi tu ndio maana akina Mwita Waitara wameufata ubunge wa " ukweli " kule CCM!
Kwani mbunge kaajiriwa na chama?
 
Wapo wapiga viroba watabisha; Leo kuna pahala nichangia kuwa, Hata leo Lema, Heche, Nasar na Sugu watangaze kuingia CCM hawawezi kubaliwa ng'oo, wasubiri kiama yao 2020.

Fanya Yote ila nidhamu ya kinywa n muhimu.

Ccm ipo hiyo ya watu kuitetemekea? Huko ccm watu wanakuja kupiga hela za mabwege na wala hakuna lolote la maana.
 
Back
Top Bottom