Tetesi: Maombi ya Mnyika kujiunga CCM yakwamishwa na kauli yake ya kuudhi dhidi ya mstaafu Kikwete aliyoitoa bungeni

Mbona kafulila waliwadhihaki sana ccm mwisho wa siku kaenda ccm na kapokelewa na kupewa madaraka juu.hizi story za mnyika sio za kweli ccm INA wajali sana wapinzani kuliko kitu chochote Duniani
 
Barua ya Mnyika kwenda CCM halafu mnyetishaji wako ni wa ufipa. Rudi kajipange na uongo mwingine
 
Inasemekana kuwa barua ya maombi ya kujiunga na CCM ya mbunge wa kiibamba JJ Mnyika wa chadema imekwamishwa na Wanene wa CCM. Sababu kuu ni kauli ya dharau na kuudhi aliyoitoa Mnyika katika bunge la Makinda iliyomlenga Rais wa awamu ya 4 aliyekuwa pia Mwenyekiti wa CCM taifa. Inadaiwa ama Mnyika amuombe JK msamaha hadharani au amwandikie KM wa CCM barua nyingine ya kuomba radhi na copy aipeleke kwa mstaafu JK. Nimejulishwa na mwana Ufipa mmoja juu ya kadhia hii, binafsi naomba niishie hapo!
Kwa uelewa wangu mdogo wa CCM, huo Msamaha angeuombea jukwaani siku anatangaza kuunga mkono juhudi za rais
 
Propaganda at work? Yaani Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA aandike barua ya kujiunga ccm mumkatalie wakati wenyeviti wa vijiji 20 wa CHADEMA kutoka Hai walipohamia CCM mlifanya sherehe?
Wale 20 wa moshi si wengine wamejitokeza kukataa na wengine walilazimishwa na tus tus tussa
 
CCM na siasa za maji ya chooni.

Lumumba buku 7 mmepwaya sana mitandaoni hadi spika wa bunge amewaomba mawaziri na wabunge wa CCM waje mitandaoni kujibu hoja.
 
we ndio punguza umbea inakuwaje ulete habari haina uhakika kama sio umbea kwa mtoto wa kiume na hicho ndio kiherehere .lete hbr jukwaani ikiwa kamili na uthibitisho sio kukurupuka tu
Mbwiga JJ yumo humu jamvini umesikia akikanusha?........au wewe mbwiga ni mgeni hapa mjini!
 
CCM na siasa za maji ya chooni.

Lumumba buku 7 mmepwaya sana mitandaoni hadi spika wa bunge amewaomba mawaziri na wabunge wa CCM waje mitandaoni kujibu hoja.
Mnyika aombe radhi tu apokelewe ili wana kibamba wamchague tena aendelee kuwatumikia kwa tiketi ya chama dume!
 
YAJAYO YANAFURAHISHA............................................................................
 
Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara........ Kwa maana hiyo nyie akina David ni sisimizi tu!

we jamaa aiseeeh yaan mbowe na mdee ndio wamiliki wa cdm ahsante kwa kutuonesha upeo wako wa kufikiri ulivyo chini mkuu
 
Propaganda at work? Yaani Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA aandike barua ya kujiunga ccm mumkatalie wakati wenyeviti wa vijiji 20 wa CHADEMA kutoka Hai walipohamia CCM mlifanya sherehe?
Na je ombi la mbowe kujiunga ccm limekataliwa kwa sababi zipi?
 
Mbwiga JJ yumo humu jamvini umesikia akikanusha?........au wewe mbwiga ni mgeni hapa mjini!
akanushe umbea haaahaa si wa vile mkuu ukiona mtu anakanusha umbea ujue ana matatizo maana nyie mmeajiriwa kufanya umbea na mko wengi ,atakunasha umbea mingapi na amidume mimbea kila siku inpost umbea kama sehemu ya kazi zao,acha awatumikie wananchi wake umbea pelekeni sekretariati yenu kwa huyu anayewalipa huo umbea tena kwa midume mizima yenye familia
 
we jamaa aiseeeh yaan mbowe na mdee ndio wamiliki wa cdm ahsante kwa kutuonesha upeo wako wa kufikiri ulivyo chini mkuu
Mbwiga hayo ni maneno ya Mwita Waitara mbunge wa Ukonga anayeijua chadema kiundani kuliko wewe!
 
Inasemekana kuwa barua ya maombi ya kujiunga na CCM ya mbunge wa kiibamba JJ Mnyika wa chadema imekwamishwa na Wanene wa CCM. Sababu kuu ni kauli ya dharau na kuudhi aliyoitoa Mnyika katika bunge la Makinda iliyomlenga Rais wa awamu ya 4 aliyekuwa pia Mwenyekiti wa CCM taifa. Inadaiwa ama Mnyika amuombe JK msamaha hadharani au amwandikie KM wa CCM barua nyingine ya kuomba radhi na copy aipeleke kwa mstaafu JK. Nimejulishwa na mwana Ufipa mmoja juu ya kadhia hii, binafsi naomba niishie hapo!
Sawa
tapatalk_1536768833912.jpeg
 
akanushe umbea haaahaa si wa vile mkuu ukiona mtu anakanusha umbea ujue ana matatizo maana nyie mmeajiriwa kufanya umbea na mko wengi ,atakunasha umbea mingapi na amidume mimbea kila siku inpost umbea kama sehemu ya kazi zao,acha awatumikie wananchi wake umbea pelekeni sekretariati yenu kwa huyu anayewalipa huo umbea tena kwa midume mizima yenye familia
Naona unaogopa sana!!.......wenzio wanasema aliondoka Dr Slaa itakuwa Mnyika?..... Usiogope Mnyika atafanya maamuzi sahihi.
 
hakuna anayeogopa ni uamuzi wao hata wakisema waondoke wote NA ccm itengeneze chama kingine ni sawa.Kinachonikera mimi ni kwa wasomi kama nyie kutumika namna hii kwa malipo madogo sana huku mkijua mnamkosea Mungu NA MANAFANYA MAKUSUDI hii ni hatari sana
 
Back
Top Bottom