Wateule
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 390
- 368
Hapo kwenye bold ndio pamenifanya nisiiamini ukisemacho; yaani Mnyika aandike barua to ccm halafu makao makuu ya Chadema/Ufipa wawe na taarifa za namna hiyo!? Uongo wa kiwango cha degree.
Back to the topic; kwani jiwe si ndio anafurahishwa na wanao muunga mkono huku wakiponda watangulizi wake!? Kauri zake pia zinaonesha hivyo several time so kama kweli Mnyika angekua kaandika barua, Lumumba wangeona "hakika wamevua SANGARA" lenye tani kadhaa kwa maana ya uzito; Mwigamba, KAfulila na wengine wengi waliporudi walionesha kwamba ccm hi ni tofauti na ccm ile waliokua wakiipinga; what is the difference with Mnyika!? Hu ni UONGO.
Upo sahihi mkuu. Ila tu hapo uliposema ni "uongo wa kiwango cha degree", kwani ni uongo wa kiwango cha mtu ambaye hakwenda shule kabisaaa. Tafadhali, tuipe degree heshma yake.