Tetesi: Maombi ya Mnyika kujiunga CCM yakwamishwa na kauli yake ya kuudhi dhidi ya mstaafu Kikwete aliyoitoa bungeni

Inasemekana kuwa barua ya maombi ya kujiunga na CCM ya mbunge wa kiibamba JJ Mnyika wa chadema imekwamishwa na Wanene wa CCM. Sababu kuu ni kauli ya dharau na kuudhi aliyoitoa Mnyika katika bunge la Makinda iliyomlenga Rais wa awamu ya 4 aliyekuwa pia Mwenyekiti wa CCM taifa. Inadaiwa ama Mnyika amuombe JK msamaha hadharani au amwandikie KM wa CCM barua nyingine ya kuomba radhi na copy aipeleke kwa mstaafu JK. Nimejulishwa na mwana Ufipa mmoja juu ya kadhia hii, binafsi naomba niishie hapo!
Iweke hapa tuione
 
Ms2... e3Enge akitaka kupigwa nao hizi ndizo ishara zake
 
janja jinga usiejielewa!!Umepata nafasi ya kutoa ushuzi huu kwa kuwa kuna CHADEMA!!Mim nawish mkimalize hata kesho alafu tushuhudie maisha yenu ya peponi Lumumba!!*Unapewa posho ya ubwabwa maharage kwakua kuna CHADEMA!!
Mkuu mbwiga Chadema ilishaondoka na Dr Slaa, kalagabaho!
 
Hamna ubavu wa kumtosa mnyika nyie wenye uchu wa madaraka.
 
Baadhi ya watanzania wamanifanya nishangae kuna watu humu baadhi yao naisi ni chadema wanampondea Mnyika wengineo wanamkubali sasa tumuamini yupo na tumkatae yupo kuhusu Mnyika? huu ni sawa na mpasuko kutoka kwenye kitu kimoja chunguzeni post walizopost watu utaona
 
Wapo wapiga viroba watabisha; Leo kuna pahala nichangia kuwa, Hata leo Lema, Heche, Nasar na Sugu watangaze kuingia CCM hawawezi kubaliwa ng'oo, wasubiri kiama yao 2020.

Fanya Yote ila nidhamu ya kinywa n muhimu.
bro utaniruhusu nijambeh kinywani mwako mbrrrrrrrr
 
Mkuu usikariri unadhani hapo Ufipa mko Chadema watupu........hahahaa Nape alimlipia Dr Slaa ada ya uanachama hadi 2020, je umewahi kumsikia Slaa akisema ' anarejea' CCM?...... Kalagabaho mkuu!
Hiyo ni ramli tu. Ndio utamaduni wenu hapo lumumba.
 
Inasemekana kuwa barua ya maombi ya kujiunga na CCM ya mbunge wa kiibamba JJ Mnyika wa chadema imekwamishwa na Wanene wa CCM. Sababu kuu ni kauli ya dharau na kuudhi aliyoitoa Mnyika katika bunge la Makinda iliyomlenga Rais wa awamu ya 4 aliyekuwa pia Mwenyekiti wa CCM taifa. Inadaiwa ama Mnyika amuombe JK msamaha hadharani au amwandikie KM wa CCM barua nyingine ya kuomba radhi na copy aipeleke kwa mstaafu JK. Nimejulishwa na mwana Ufipa mmoja juu ya kadhia hii, binafsi naomba niishie hapo!
UPUUZI !!!!
 
Hakuna mtu mwenye akili TIMAMU anayeweza kuomba kujiunga na Intarahamwe.Fisiem.
 
Inasemekana kuwa barua ya maombi ya kujiunga na CCM ya mbunge wa kiibamba JJ Mnyika wa chadema imekwamishwa na Wanene wa CCM. Sababu kuu ni kauli ya dharau na kuudhi aliyoitoa Mnyika katika bunge la Makinda iliyomlenga Rais wa awamu ya 4 aliyekuwa pia Mwenyekiti wa CCM taifa. Inadaiwa ama Mnyika amuombe JK msamaha hadharani au amwandikie KM wa CCM barua nyingine ya kuomba radhi na copy aipeleke kwa mstaafu JK. Nimejulishwa na mwana Ufipa mmoja juu ya kadhia hii, binafsi naomba niishie hapo!

Propaganda time!!

Kuelekea 2020 mtazusha mengi sana.
 
Propaganda at work? Yaani Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA aandike barua ya kujiunga ccm mumkatalie wakati wenyeviti wa vijiji 20 wa CHADEMA kutoka Hai walipohamia CCM mlifanya sherehe?
Very well thought and said
 
Propaganda at work? Yaani Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA aandike barua ya kujiunga ccm mumkatalie wakati wenyeviti wa vijiji 20 wa CHADEMA kutoka Hai walipohamia CCM mlifanya sherehe?

Huyo mtoto hana adabu.Alivyomtukana rais mstaafu akamwachia hivihivi tu sisi wana CCM hatukufurahi.Ajaribu kuongea ule upuuzi tena kwa sasa aone.Huyu hata wakija wenyeviti wa vijiji 100 watapokelewa lakin huyu Mnyika abaki hukohuko mpaka atakapotambua kuwa maharage ni mboga.
 
Inasemekana kuwa barua ya maombi ya kujiunga na CCM ya mbunge wa kiibamba JJ Mnyika wa chadema imekwamishwa na Wanene wa CCM. Sababu kuu ni kauli ya dharau na kuudhi aliyoitoa Mnyika katika bunge la Makinda iliyomlenga Rais wa awamu ya 4 aliyekuwa pia Mwenyekiti wa CCM taifa. Inadaiwa ama Mnyika amuombe JK msamaha hadharani au amwandikie KM wa CCM barua nyingine ya kuomba radhi na copy aipeleke kwa mstaafu JK. Nimejulishwa na mwana Ufipa mmoja juu ya kadhia hii, binafsi naomba niishie hapo!
mbona hujatujulisha kuwa mlinunua shahada za kupigia kura huko ukonga? unajichua kisha unajisifia kulala na mrembo?
 
Back
Top Bottom