FarryDeGreat
Member
- Oct 18, 2017
- 5
- 1
Bravo Bravo...... UmenenaMungu si mwanadamu. Mungu anafurahi mkosefu anapoiacha njia yake mbaya na kumrudia Mungu. Pia wakati wa shida ndo wakati haswa wa kumrudia Mungu maana Mungu hashughuliki na mambo yanayowezekana kwa mwanadamu bali anashughulika na mambo yaliyo nje ya uwezo wa Mwanadamu. Tusimhukumu mtu, kazi ya kuhukumu ni ya Mungu.
Nahisi ana act hata kule mahakamani inawezekana ni movie wanataka kutoa nini?Yule akiambiwa anaenda miaka 15 jela ndio akili zitafunguka,lakini hivi hivi,she will never change.Ile ilikuwa sehemu ya acting
Siyo kweli haizidi miaka 5Kuuwa bila kukusudia anaweza kujikuta anatumikia kifungo cha miaka 10 mpaka 15 jela.
Kule kuvaa madera na vilembaNahisi ana act hata kule mahakamani inawezekana ni movie wanataka kutoa nini?Yule akiambiwa anaenda miaka 15 jela ndio akili zitafunguka,lakini hivi hivi,she will never change.
Lulu ni mcha Mungu na muoMungu anatoa wakati wowote ila ni vyema zaidi ukafanya maombi kila leo na si kipindi cha shida tu by the way Mungu atakusimamia kwa hili jela si kitu kizuri mbaya zaidi kwa maisha ulioyazoe Lulu hata mwezi mmoja gerezani ni mkubwa sijui wale jamaa wakikupa mvua ya aka 10,20 au 30...itakuwaje ?
Acha afungwe tu katoto gani kaongo kama kachawi, kameuwa halafu kanaenda kupunga upepo BeachMuonee imani kidogo
Nipo tayari kufungwa nae sero moja
Makaaba majambazi wauaji na walevi watakuwa viti vya mbele katika ufalme wa Mungu, yahani watakuwa meza kuu.Mungu hachezewi,ukiwa huna shida humjui unamjua ukiwa na shida?Maombi yapi na ukahaba ule anaofanyaga?Kwanza si alitangaza kuokoka kipindi ametoka mahabusu?Mbona hakuonyesha kuendelea?
Kama wata mhukumu ni 5 Yrs tuKuuwa bila kukusudia anaweza kujikuta anatumikia kifungo cha miaka 10 mpaka 15 jela.
haiwez kutokea kwa tz...labda angekuwa ni maskin kama sisi wengineKuuwa bila kukusudia anaweza kujikuta anatumikia kifungo cha miaka 10 mpaka 15 jela.