Maombi yatawala nyumbani kwa Lulu

Aende koko beach akapunge upepo kama siku ile alipouwa
 
Ila Lulu mrembo jamani huyu mtoto! Dr cheni na kanumba walikafaidi sana. [emoji39][emoji39]
 
Acha akawe chakula kizuri cha wanyampala
 
Kama wanaomba ili haki itendeke kwa pandezote mbili it's fine.
 
Swali la msingi ni kwamba vipi kuhusu ndugu wa kijana aliyeuwawa. Nao maombi yao ni yapi kwa mhusika. Apewe adhabu ya kuua bila kukusudia au asamehewe na aendelee na majukumu yake.
 
Damu ya Yesu iliyomwagika msalabani iliokoa wezi,makahaba,walevi na hata waliodhulumiwa. Naomba ikanene mema juu ya huyu mtoto. Amen.
 
Yah nimekuelewa mkuu
 
Daah! Jaman pole yake bidada aisee kesi ilivyotuliaga tulidhani imefichwa ndani ya kapeti.
 
Mnafiki na Kahaba huyu....unaomba asubuhi alafu mchana unatuonyesha picha za nyuchi...stupid.

.....I can't waste time to pray for this ujinga
 
Mie namwomba Mungu ampe haki yake kama ana kosa amsamehe na kumuweka lupango ili iwe fundisho kwa watu wengine kama hana basi Mungu awezeshe kuachiwa huru. Kila kilichofungwa Duniani kimefungwa na Mbinguni pia, tumekubaliana kufunga jela wahalifu na wafungwe, vilevile tumekubaliana kuwaachia huru wema na waachiwe huru. MUNGU wetu ni wa utaratibu hakurupuki kutenda.
 
Mungu hachezewi,ukiwa huna shida humjui unamjua ukiwa na shida?Maombi yapi na ukahaba ule anaofanyaga?Kwanza si alitangaza kuokoka kipindi ametoka mahabusu?Mbona hakuonyesha kuendelea?

We Ni Nani kuhukumu ??? Huyu mtoto Ni mcha Mungu nakaonaga sana kwenye maombi kabla hata ya Hii kesi
 
We Ni Nani kuhukumu ??? Huyu mtoto Ni mcha Mungu nakaonaga sana kwenye maombi kabla hata ya Hii kesi
Wewe huna akili,sio wote wasemao bwana bwana watauona ufalme wa mbinguni.Mcha mungu?mcha mungu yupoje?Wewe unawajua wacha mungu?unamjua mbwa mwitu aliyejivisha ngozi ya kondoo?
 
Wewe huna akili,sio wote wasemao bwana bwana watauona ufalme wa mbinguni.Mcha mungu?mcha mungu yupoje?Wewe unawajua wacha mungu?unamjua mbwa mwitu aliyejivisha ngozi ya kondoo?

Hio Ni kazi ya Mungu..Hata Yesu mwenyew alikuja kwajili ya wenye dhambi.huo u mbwa mwitu na kondoo wake anaujua Mungu. Mm na ww Ni nani kuhukumu ilihali tuna mazito engine kushinda Yake
 
Mchumia janga hulia na wakwao! sheria ichukue tu mkondo wake apate kinachomstahili Mungu ni wa kwetu sote.
 
Mungu hachezewi,ukiwa huna shida humjui unamjua ukiwa na shida?Maombi yapi na ukahaba ule anaofanyaga?Kwanza si alitangaza kuokoka kipindi ametoka mahabusu?Mbona hakuonyesha kuendelea?
Anyways! Ndo maana usemi kama vile “Mungu si Athumani” unakuwa na mantiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…