Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Afu mnasema wanaume wa dar wanalelewa na wanawake, we unatoka kwenu unakuja kukaa kwa mwanamke kapange gesti au panga chumba kabisa ili asije baba mwenye mtoto akakupiga mabusu, kwanza nikuulize...wewe ni handsome?
Siendi kuishi mkuu,ni kufika baada ya siku mbili narudi
 
Hakiksha unatuwakilisha vema wanaume wa mikoani, piga hadi iwe nyekundu, usianze kuleta za kuchoka eti umechoka na safari, wanaume wa mikoani hatuko hivyo. Kazi njema usisahau kuleta mrejesho. Achana na wanaume wa dar wanaosema utatolewa linda, uoga wao ndio unafanya wadharaulike.
 
Una moyo wa ujasiri sana mkuu. Hongera sana!
Binafsi siwezi kusafiri kwaajili tu ya mtu nisiyemjua..labda niwe na safari zangu kwenye huo mkoa niamue kuonana nae
 
Kumfuata binadamu usiyemjua ni hatari...

Tena kutoka mkao mmoja kwenda mwingine....


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…