Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Marioo type nakazia ninge mwanaume unayejielewa huwezi kukubali hivyo vitu
Kweli kabsa shunie!! Jamaa ni marioo huwez kujpeleka kirahisi rahisi hvyoo,, inabd uoneshe uanaume wako bhna
 
Kweli kabsa shunie!! Jamaa ni marioo huwez kujpeleka kirahisi rahisi hvyoo,, inabd uoneshe uanaume wako bhna
Kabisa hivi angekuwa sio marioo angeshindwa kuchukua hotel jamani unajipeleka kabisa na makengele yako kwa mwanamke
 
Kabisa hivi angekuwa sio marioo angeshindwa kuchukua hotel jamani unajipeleka kabisa na makengele yako kwa mwanamke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shunie bhna,, ngoja aende bhana atakuwa kadatishwa na mapicha picha huyu sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…