Tashacobbs
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 572
- 1,559
Yesu awatunze,yote yaende salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha 🤪 haya buanaAh sasa sii ukweli au nasema uwongo
Ujinga death and birth should not be planned but naturallyAlitaka iwe hivyo kwa sababu ilikuwa planned c on 25th March, akaomba iwe on 29th March wawe na birthday moja. .
Ila hata mwanangu wa kwanza wa kike alizaliw 29th September. Haha birthday zao wote mke wangu na wanae ni tarehe 29. .
Amina. .
Mpo Istiqaama mkuu?Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF
Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29[emoji846]. Namtakia kheri ya kuzaliwa na ningependa kusheherekea nanyi ndugu zangu. .
Pili, Leo hii tuko hospital magomeni hapa. Mda huu amepangiwa c section (kujifungua kwa operation). Huyu akiwa mtoto wetu wa pili. Hivi navyoandika hapa yuko chumba cha upasuaji (Theatre) na mimi niko nje nasubiri.
Ndugu zangu huu ni mwezi wa Kwaresma na pia ni mwezi wa Ramadhani. Tuwe pamoja na kheri njema ya maombi yenu. .
Ndugu yenu Gily . .
poleni na hongereni mkuu. Kila kitu kitakuwa sawa.Sitting here on the waiting room just waiting to hear good news seems like eternity, asking God for strength [emoji123]. .
Kumbe wanawake wa humu mmeolewa lakini kutwa kututolea mipovu humu jukwaani.Mungu awasimamie wifi ajifungue salama watoke wazima yeye na mtoto
hbd kwake
sie kuanzia october had januari ni birthdays tu naanza mie october, mwanangu wa kwanza november, baba yao december na our last born ni january
Alitaka iwe hivyo kwa sababu ilikuwa planned c on 25th March, akaomba iwe on 29th March wawe na birthday moja. .
Ila hata mwanangu wa kwanza wa kike alizaliw 29th September. Haha birthday zao wote mke wangu na wanae ni tarehe 29. .
Amina. .
Mimba ya kwanza mke wangu alijifungua kwa operation. Tulitegemea iwe kawaida bahati haikuw yetu mtoto alikuwa amejifunga nilihangaika kutafuta doctor Amana na Muhimbili. .Ujinga death and birth should not be planned but naturally