Maombi yenu tafadhali

Maombi yenu tafadhali

Alitaka iwe hivyo kwa sababu ilikuwa planned c on 25th March, akaomba iwe on 29th March wawe na birthday moja. .

Ila hata mwanangu wa kwanza wa kike alizaliw 29th September. Haha birthday zao wote mke wangu na wanae ni tarehe 29. .

Amina. .
Ujinga death and birth should not be planned but naturally
 
Mungu awasimamie wifi ajifungue salama watoke wazima yeye na mtoto

hbd kwake

sie kuanzia october had januari ni birthdays tu naanza mie october, mwanangu wa kwanza november, baba yao december na our last born ni january
 
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF

Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29[emoji846]. Namtakia kheri ya kuzaliwa na ningependa kusheherekea nanyi ndugu zangu. .

Pili, Leo hii tuko hospital magomeni hapa. Mda huu amepangiwa c section (kujifungua kwa operation). Huyu akiwa mtoto wetu wa pili. Hivi navyoandika hapa yuko chumba cha upasuaji (Theatre) na mimi niko nje nasubiri.

Ndugu zangu huu ni mwezi wa Kwaresma na pia ni mwezi wa Ramadhani. Tuwe pamoja na kheri njema ya maombi yenu. .

Ndugu yenu Gily . .
Mpo Istiqaama mkuu?

Ingekuwa siyo hizi fake ID ningepita kutoa pole....
 
Mungu awasimamie wifi ajifungue salama watoke wazima yeye na mtoto

hbd kwake

sie kuanzia october had januari ni birthdays tu naanza mie october, mwanangu wa kwanza november, baba yao december na our last born ni january
Kumbe wanawake wa humu mmeolewa lakini kutwa kututolea mipovu humu jukwaani.
 
What a coincidence that is!
Alitaka iwe hivyo kwa sababu ilikuwa planned c on 25th March, akaomba iwe on 29th March wawe na birthday moja. .

Ila hata mwanangu wa kwanza wa kike alizaliw 29th September. Haha birthday zao wote mke wangu na wanae ni tarehe 29. .

Amina. .
 
Mbona wakati wakutiana mimba hukutaka maombi yetu
mzabzab kuna kitu unakitafuta 👇
Special-effects-makeup-boxing-wounds-and-black-eye.jpg
 
Ujinga death and birth should not be planned but naturally
Mimba ya kwanza mke wangu alijifungua kwa operation. Tulitegemea iwe kawaida bahati haikuw yetu mtoto alikuwa amejifunga nilihangaika kutafuta doctor Amana na Muhimbili. .

Sasa kutokana na hali yake hatakiwi apate uchungu na mshono ulikuwa katika hali ya kitatuka. Hakuna anayependa kufanya operation ndugu yangu uambie mdomo wako "mdomo koma". Mambo ya kheri yapite njia zako usikutane na kasia hizi. .

Mungu ni mwema nimepata mtoto wa kiume. Anafanana na mimi saba sana . .
 
Back
Top Bottom