Maombi yenu tafadhali

How did you know🙃

Niko Istiqama I am surprised you know it. Niko hapa chumba private, niko na mwanangu namngojea mama yake atoke operation room. .

View attachment 2569605
😄😄 Hongera sana....kila la kheri kwa mkeo atoke salama huko..

Kuna masaa si chini ya 8 ya kulala kwa mgongo tu... Ganzi ikiisha kuna maumivu yatapita hapo....kuna ile siku ya kuanza mazoezi...ile unaanza nyanyuka kwa mara ya kwanza maumivu yake yasikie..... Mungu amfanyie wepesi kwa yote..... Operation sio kitu chepesi basi tu
 
Hongera chief
 
Mungu awasimamie wifi ajifungue salama watoke wazima yeye na mtoto

hbd kwake

sie kuanzia october had januari ni birthdays tu naanza mie october, mwanangu wa kwanza november, baba yao december na our last born ni january
wow kila mwezi birthday ni vyema kufurahi pamoja.
 
Wow., Gily , all the best..
Ila mmeforce operation Leo ili wazaliwe siku moja (wawe na birthdays zinazofanana), ama Leo ndo ilikuwa siku yenyewe?
Yeye hakutakiw apate uchungu ingeleta shida so doctor akapanga operation tarehe 25 ila wife akaomba iwe leo zifanane. .

My wife can't give normally operation inahusika mzee. My wife na watoto wangu wawili wote birthday zao 29th. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…